PostGE2025 Padre Kitima akumbushia matukio ya Oktoba 29 asema 'kesi za uvunjaji wa haki za binadamu hazifutiki'

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukiona "Rais" anajisifu hadharani kubwatuka mjue hapo mmekabidhi urithi kwa teenager.

Hii Katiba mbovu iliyopo italeta madhara zaidi huko mbeleni.

Uwezo wa Samia kuchambua na kukabiliana na mambo ni mdogo sana halafu ghafla anajikuta ana mamlaka makubwa. Ni HATARI SANA. TENA SANA.
 
Haitakuja kusahaulika , mpaka siku wakiwapa watu miili ya ndugu zao wakawazike kwa heshima.

Kwa sasa tunashukuru wauaji wanavyoanguka mmoja mmoja nao pia wanapata kujua uchungu walionao watu.

Sina huruma na muuaji yoyote wala chama chao.
 
Mjinga ni wewe na mamako aliyekuzaa wewe mjinga, nguruwe wa kizimkazi.
 
Ccm imejaza mashoga huko Zanzibar.
 
Mjinga ni wewe na mamako aliyekuzaa wewe mjinga, nguruwe wa kizimkazi.
Mjinga ni wewe na mamako aliyekuzaa wewe mjinga, nguruwe wa kizimkazi.
Shoga unalia nn 😅😅mmeuliwa mbona hajaandamana tena ? Wajinga wanekimbia nchi ...Nyie vibonde na TEC yenu ...Mtu ana tumbo kubwa kama mke hana analitoa wapi hata kukimbia hawezi ..Eti anachochea maandamano..

Dhambi zenu zimepelekea mkafa vibaya.
 
kama taifa hautuwezi kupoteza muda kukumbuka uzushi nonsense, uongo useless na poroja za walevi na mafuska wa madhabahuni kama huyu kitima.

Tunafanya kazi kwa bidii na tunasonga mbele kwa amani na umoja kama Taifa.
Wajinga kumbe hamjaisha
 
Kama serikali haijahusika, kwa nini uchukizwe na hizi kauli za kulaani?
 
Samuya labda ahamishe ukoo wake wote nje ya nchi hii vinginevyo hata wajukuu zake watakuja kulipia damu za Watanganyika walioukiwa kama ngedere ili tu bibi yao awe Rais, lazima kisasi kilipwe.Jino kwa jino na damu kwa damu.
 
Kwahiyo katiba ilikua kwa shilole na mitungi ya gesi😁😁
 
Huyu jamaa huwa ananikumbusha sana Padri mmoja akiitwa Padri Lwambano wakati wa Mwembechai Killings
Unawafuatilia kwa karibu hao mapadre wawili?

Huyo Lwambano ndiye aliyesababisha ya Mwembechai?; na yeye mlimgonga kichwani na kitu butu kwa lengo la kumuondoa uhai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…