PostGE2025 Padre Kitima Awataka Watanzania Kuwa na Imani na Ujumbe wa Maaskofu, Ataka Utulivu Katika Mkwamo wa Kisiasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kutoa mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza na waandishi wa habari leo kufuatia kikao hicho kilichofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, Agosti 10, 2026, Katibu Mkuu wa TEC, Padre Dkt. Charles Kitima, amebainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe waliotaka kumshirikisha Rais maoni yao.

Padre Kitima ameeleza kuwa maaskofu wamewasilisha andiko rasmi lenye kurasa nne ambalo linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli na msamaha ili kurejesha utulivu wa kweli nchini.

“Kutokana pia na kwamba waliweka eh bayana kwamba ili tutoke katika hali hii inabidi kwenda katika kusimamia ukweli na vile vile kutakana msamaha, kusameheana na hata kuponya nchi. Kwa hiyo kwa kiingereza tunasema ‘to admit the truth then reconciliation healing the nation’,” amesema Padre Kitima.

Sikio la kufa halisikii dawa,usitarajie kuwa CCM watafkubali katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Maaskofu wa TEC wameendelea kusimama upande wa haki
 
Hapo kwenye admit the truth ndipo penye uzuzito. Bibi Kizimkazi anapaswa kuelewa kuwa reconciliation cannot simply mean bringing people together in a room and telling them to forgive and move forward.

It requires those in Utawala to first acknowledge what actually happened, including what went wrong under their watch. Without that admission, reconciliation risks becoming a political performance rather than a genuine process of healing.

Tukiendelea kuukata ukweli, tutaendelea kuyakataa maridhiano. Na tutashindwa kuliponya taifa.
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kutoa mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza na waandishi wa habari leo kufuatia kikao hicho kilichofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, Agosti 10, 2026, Katibu Mkuu wa TEC, Padre Dkt. Charles Kitima, amebainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe waliotaka kumshirikisha Rais maoni yao.

Padre Kitima ameeleza kuwa maaskofu wamewasilisha andiko rasmi lenye kurasa nne ambalo linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli na msamaha ili kurejesha utulivu wa kweli nchini.

“Kutokana pia na kwamba waliweka eh bayana kwamba ili tutoke katika hali hii inabidi kwenda katika kusimamia ukweli na vile vile kutakana msamaha, kusameheana na hata kuponya nchi. Kwa hiyo kwa kiingereza tunasema ‘to admit the truth then reconciliation healing the nation’,” amesema Padre Kitima.
Penye uzia.............., MTU kaisha kamatishwa mlungura hapa, kwa ishu ya October 29,ilibidi waongwe wakatoric tu, maana makanisa mengine hongo zao ndogo tu! Ukiwapa chai basi!
Swala Nani alimuita Nani waongee,ni upuuzi tu, si aweke hiyo barua ya ombi
 
Huenda washauri wa Rais wameamua kukubali ombi la TEC kipindi hiki kwasababu zao za kisiasa kwa hali wanayopitia

Hata hivyo, ni vema wakazichanga karata zao sawa kwasababu hawa TEC pamoja kwamba wanaweza kuwa na mitazamo tofauti (kama binadamu wengine; mfano mzuri Cardinal Pengo aliwahi kuwa tofauti na TEC)

Lakini wanalilopanga wanalipanga pamoja, wanalolisimamia ni msimamo wa pamoja, na wanalokwambia ukalipuuza au ukalipokea kisiasa ipo siku watalisema hadharani
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kutoa mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza na waandishi wa habari leo kufuatia kikao hicho kilichofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, Agosti 10, 2026, Katibu Mkuu wa TEC, Padre Dkt. Charles Kitima, amebainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe waliotaka kumshirikisha Rais maoni yao.

Padre Kitima ameeleza kuwa maaskofu wamewasilisha andiko rasmi lenye kurasa nne ambalo linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli na msamaha ili kurejesha utulivu wa kweli nchini.

“Kutokana pia na kwamba waliweka eh bayana kwamba ili tutoke katika hali hii inabidi kwenda katika kusimamia ukweli na vile vile kutakana msamaha, kusameheana na hata kuponya nchi. Kwa hiyo kwa kiingereza tunasema ‘to admit the truth then reconciliation healing the nation’,” amesema Padre Kitima.
Kanisa liunde tume huru, ya haki na wazi ya kuchunguza mauaji ya 20 October 2025. Hatuoni kama Samia ana nia ya kuweka mambo yote hadharani ndio maana hata tume zake hatuna imani nazo maana hazina ukweli, uwazi wala uwajibikaji kwa Watanzania.

Tunataka tume ambayo hamna mtu atakayesema hii tume ni yangu na ripoti ni yangu
 
Aache, hakuna mkwamo wa kisiasa, ahubiri injili kwani maadili yameshuka sana,watu hawatoi sadaka ale Ili ahubiri siasa
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kutoa mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza na waandishi wa habari leo kufuatia kikao hicho kilichofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, Agosti 10, 2026, Katibu Mkuu wa TEC, Padre Dkt. Charles Kitima, amebainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe waliotaka kumshirikisha Rais maoni yao.

Padre Kitima ameeleza kuwa maaskofu wamewasilisha andiko rasmi lenye kurasa nne ambalo linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli na msamaha ili kurejesha utulivu wa kweli nchini.

“Kutokana pia na kwamba waliweka eh bayana kwamba ili tutoke katika hali hii inabidi kwenda katika kusimamia ukweli na vile vile kutakana msamaha, kusameheana na hata kuponya nchi. Kwa hiyo kwa kiingereza tunasema ‘to admit the truth then reconciliation healing the nation’,” amesema Padre Kitima.

View attachment 3649893
Naona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwa
 
Hizo kurasa nne zinakuwaje ni siri safari hii na mara zote TEC wamekuwa wakiweka Wazi Maandiko yao kwa Serikali hii hii?!!
Mwanzo wa Mwisho wa Enzi huu...Nilisema hapa baada ya hiki kikao hamtamuona tena Kitima mwenye cheche zake...sasa kauli za TEC ni kama za akina Mzee Butiku na Msekwa!.Ni maneno laini yenye kutia matumaini hewa yasiyoweza kuonekana..
Misimamo wa Samia kwao alishauweka wazi kitambo tu wakati anaongea na Wazee wa CCM- Dar baada ya kadhia ya 29/10/2026...Na m nukuu.."MSIDHANI NINYI MUNAWEZA KU OVER RIDE .... KATIKA NCHI HII...." Mwisho wa kunukuu...
 
Naona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwa
TEC iliyotegemewa kwa ujasiri ndiyo basi tena....
Compromised tayari..chezea CCM weye..!!
Sasa ni wapatanishi na wasuluhishi tena wa Kinafiki tu na siyo positive challengers wa Serikali hii kama ilivyokuwa siku za nyuma,.
 
Kanisa liunde tume huru, ya haki na wazi ya kuchunguza mauaji ya 20 October 2025. Hatuoni kama Samia ana nia ya kuweka mambo yote hadharani ndio maana hata tume zake hatuna imani nazo maana hazina ukweli, uwazi wala uwajibikaji kwa Watanzania.

Tunataka tume ambayo hamna mtu atakayesema hii tume ni yangu na ripoti ni yangu
TEC kwishney Mkuu..!!
Hapa tegemeo la kupigia kelele hayo ni CHADEMA na One-Man-Army- Mtumishi wa Mungu Dr.Bagonza....
 
Unapenda kuvuka mto kabla hujaufikia!!
Ni wapi pameonyesha kuwa TEC wame "bow down" kwa Samia!!??
Hallucinations zako na "wishiful thinking" ndizo zinapelekea kuhitimisha hivyo.
 
Back
Top Bottom