PostGE2025 Padre Kitima Awataka Watanzania Kuwa na Imani na Ujumbe wa Maaskofu, Ataka Utulivu Katika Mkwamo wa Kisiasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unapenda kuvuka mto kabla hujaufikia!!
Ni wapi pameonyesha kuwa TEC wame "bow down" kwa Samia!!??
Hallucinations zako na "wishiful thinking" ndizo zinapelekea kuhitimisha hivyo.
Sasa wameomba kukutana naye kwa jipya lipi ambalo wanalitarajia na alishawaweka wazi kwamba wasijekufikiri kwamba kuna siku wata override kwa lolote?! Na kipi safari hii kimewafanya wafiche walichozungumza naye na kukiweka hadharani ilivyozoeleka...safari hii Kitima anataja tu KURASA kwamba ziko NNE???!!!Hazina maandishi/ Plain!!!!??
 
Huyo mjinga anafikiri tupo kwenye mchuano baina ya RC na KKKT yake.
Mjinga ni wewe unayeota kusifiwa kwa kila kitu...!?
Na Dini Mimi sina maana ni ulaghai tu na ghiriba kama hizi za TEC ndiyo maana hata Bagonza mimi simfungamanishi na KKKT yake na sijawahi kumskia akitoa tamko kwa niaba ya KKKT.
 
Sasa wameomba kukutana naye kwa jipya lipi ambalo wanalitarajia na alishawaweka wazi kwamba wasijekufikiri kwamba kuna siku wata override kwa lolote?! Na kipi safari hii kimewafanya wafiche walichozungumza naye na kukiweka hadharani ilivyozoeleka...safari hii Kitima anataja tu KURASA kwamba ziko NNE???!!!Hazina maandishi/ Plain!!!!??
Mkuu ukakasi mtupu!
 
Wewe hujamsikiliza kitims, ulitaka wafanye jiwe kwa jiwe au chuma kwa chuma kwani ni chama cha siasa kile.

Kamsikilize vizuri mwanzo hadi mwisho.
 
Mkuu,kwa sababu TEC ni viongozi wa dini sio viongozi wa kiroho tutegemee lolote lile kutokea,even msimamo wao wa HAKI kuwa diluted!.

Kiongozi wa kiroho(mwenye Mamlaka ya Mungu ndani yake) akikuonya mara nyingi kwa Jambo hilo hilo halafu wewe ukaamua kushupaza shingo anakuacha ikuvunjikie(uvune ulichokipanda). Kama ulimpuuza kabla huwezi by any means kupata 'msaada' wake baada.

WAGALATIA 6
7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

MITHALI 29
1 Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
 
Back
Top Bottom