Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zipo lakini zipo kwaajili ya maslahi ya waliopo madarakani ndio maana wanazipindisha na kujitungia za kuwapa kinga kila siku. Uwajibikaji hakuna kama mtu tu hawezi kuwa responsible kwa mali za umma huyo hata sheria anaweza kupindisha zimfae atakavyo.Kwa uelewa wako, nia ya kuongozwa na sheria ina maanisha nini?. Huwezi kusema kwamba wananchi hawana nia ya kuongozwa na sheria kwasababu Tanzania kuna vyombo vya usalama ambavyo vinatakiwa kuhakikisha kwamba wananchi wote wanatii sheria hizi.
VIONGOZI wetu hawataki kuongoza kwa kufuata KATIBA bali kwa matakwa yaoHata ktukawa na katiba bora kabisa , kama hakuna utashi wa kuongozwa na sheria ni Bure!
Kumbe huyu ni mbobezi wa Constitutional Law!
Msikilize
Wewe unaipinga kwa lengo tofauti kabisa. Wewe ni chawa wa majiziNipo hapa...
Ndio maana mimi ni miongoni mwa WAPINGAJI KATIBA MPYA kwa kuisimamisha misuli ya shingo kwa "mbango" mpaka kichwa kinaniuma....
Si vijiwe vya kahawa....ninaipinga katiba mpya.....
Si mabanda ya wanzuki na komoni....ninaipinga katiba mpya...
KATIBA ILIYOPO NI NZURI NA IENDELEE TU...
Kinachohitajika tu ni UTASHI WA USIMAMIZI WA KATIBA.....
#SiempreJMT[emoji120]
Katiba ifute kabisa huyu Rais Mfalme! akishafutwa huyo, basi sheria zitafuatwa. mfano as long as IGP hateuliwi na Rais, na hivyo kujihakikishia usalama wa nafasi yake, anaweza kukataa maagizxo ya Rais...nafasi zote ziende katika mtindo huo ire Judges, and other executive officers. Sheria zitafuatwa. Rais apewe nafasi ndogo ya kumwingilia executive officerInatakiwa hiyo Katiba Mpya ikipatikana iwabane wale wasiotaka kuifuata, nao wajue watabanwa na Katiba husika, kuanzia hapo ndio tutaanza kutembea njia moja inayofanana.
Huwa naona kinachofanya hili jambo lionekane kuwa gumu, ni pale ambapo utakuta viongozi fulani hawawajibiki kwa makosa wanayofanya wakiwa kwenye utawala, kinga ya kutoshtakiwa ndio chanzo cha viongozi kuvunja sheria makusudi.
Ikishaondolewa hiyo kinga kwao, wote tukawa sawa chini ya sheria, hayupo atakayemletea ujuaji mwenzake kwasababu ya nafasi anayoshikilia kisiasa, tutaanza kuheshimiana, baada ya hapo ndio sheria zitaanza kufuatwa bila shuruti.
Katiba iliyopo inavunjwa kwani mpya watashindwa kuivunja? shida ni mifumo ovu, tubadili katiba kila mtu ashitakiweHata tukawa na katiba bora kabisa , kama hakuna utashi wa kuongozwa na sheria ni Bure!
Kumbe huyu ni mbobezi wa Constitutional Law!
Msikilize
CCM hawatakubali sababu wanajua wizi utaishaKatiba ifute kabisa huyu Rais Mfalme! akishafutwa huyo, basi sheria zitafuatwa. mfano as long as IGP hateuliwi na Rais, na hivyo kujihakikishia usalama wa nafasi yake, anaweza kukataa maagizxo ya Rais...nafasi zote ziende katika mtindo huo ire Judges, and other executive officers. Sheria zitafuatwa. Rais apewe nafasi ndogo ya kumwingilia executive officer
Pili wagombea binafsi wawepo , wabunge wasitegemee hisani ya vyama, and therefero hapatakuwa na machawa
Huwezi kumwelewa Fr hata kidogo bro. Unahitaji intellectual humility, but with dry intellectualism or fanaticism you cannot. Fr anaongelea tendency ambayo wengi wetu tunayo - kutaka shortcuts (bila kufuata utaratibu).Kwa uelewa wako, nia ya kuongozwa na sheria ina maanisha nini?. Huwezi kusema kwamba wananchi hawana nia ya kuongozwa na sheria kwasababu Tanzania kuna vyombo vya usalama ambavyo vinatakiwa kuhakikisha kwamba wananchi wote wanatii sheria hizi.
Sasa mbona katiba inavunjwa na huku hayo makorokocho uliyoyataja yapo?Kwa uelewa wako, nia ya kuongozwa na sheria ina maanisha nini?. Huwezi kusema kwamba wananchi hawana nia ya kuongozwa na sheria kwasababu Tanzania kuna vyombo vya usalama ambavyo vinatakiwa kuhakikisha kwamba wananchi wote wanatii sheria hizi.
Si kweli...Wewe unaipinga kwa lengo tofauti kabisa. Wewe ni chawa wa majizi
Kwa uelewa wako, nia ya kuongozwa na sheria ina maanisha nini?. Huwezi kusema kwamba wananchi hawana nia ya kuongozwa na sheria kwasababu Tanzania kuna vyombo vya usalama ambavyo vinatakiwa kuhakikisha kwamba wananchi wote wanatii sheria hizi.
Hata tukawa na katiba bora kabisa , kama hakuna utashi wa kuongozwa na sheria ni Bure![emoji419][emoji375]Hata tukawa na katiba bora kabisa , kama hakuna utashi wa kuongozwa na sheria ni Bure!
Kumbe huyu ni mbobezi wa Constitutional Law!
Msikilize
Hivyo vyombo vya usalama ndio sehemu ya uvunjwaji wa sheria. Mifumo ya kutofuata sheria ilianza kidogo kidogo kadiri CCM ilivyokuwa inalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti. Matokeo yake hivi Sasa hasa viongozi wanatii sheria tu zisiziwabana. Mwenendo huo mbovu wa viongozi kutotii sheria, umepelekea hadi mahakama kuogopa kutoa maamuzi kwa kujibu wa sheria, bali kuendana na utashi wa viongozi. Sasa hivi amri toka juu ina nguvu kuliko sheria na katiba.Kwa uelewa wako, nia ya kuongozwa na sheria ina maanisha nini?. Huwezi kusema kwamba wananchi hawana nia ya kuongozwa na sheria kwasababu Tanzania kuna vyombo vya usalama ambavyo vinatakiwa kuhakikisha kwamba wananchi wote wanatii sheria hizi.
Sasa kwa nini katiba imekuwa ikivunjwa na hakuna chochote?Kwa uelewa wako, nia ya kuongozwa na sheria ina maanisha nini?. Huwezi kusema kwamba wananchi hawana nia ya kuongozwa na sheria kwasababu Tanzania kuna vyombo vya usalama ambavyo vinatakiwa kuhakikisha kwamba wananchi wote wanatii sheria hizi.