Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Jamaa kanyoka kama rula.Uzuri wa Padre Dr. Charles Kitima, huwa hapindishi maneno. Hata enzi za JPM, alikuwa akisema kile anacho kiamini.
Hivyo asitokee mtu wa kusema 'huyu Padre anakosoa wakati huu kwa sababu Rais ni Muislam'
..na ukweli humweka mtu huru.Msema kweli mpenzi wa Mungu
....JPM alikuwa akitamani kumfanya lolote ila basi tu.Huyu ndiye Padri wa falsafa, hajawahi kupindisha maneno, huyu amewahi kuhoji uharamia unaofanywa na makundi fulani kwenye uchaguzi. Inaskitisha Viongozi wa dini kukaa kimyaa ujambazi wa kisiasa ukifanywa na watawala, inaskitisha kiongozi wa dini anaingia kugombea ubunge na kukubali kujaziwa kura za uwizi, inaskitisha kuona kiongozi wa dini akikubali Mwaliko kuapisha kiongozi aliopatikana kwa ghilibha. Tunataka Viongozi wa dini wahubiri uzinzi, na nk kuwa ni dhambi hata hili la ujambazi kuwa ni dhambi na walikeemee na hata sura zao ziseme.
SAUT walinyimwa wanafunzi na TCU, wachache waliowapata walinyimwa mikopo na Bodi ya Mikopo. Hapo ujue Kitima ndiye alikuwa VC wa hicho chuo cha SAUT.....JPM alikuwa akitamani kumfanya lolote ila basi tu.
Kuna mada humu iliyo katika mtindo wa "TETESI" ikisema Padre Kitima kuhojiwa kwa kauli yake hii, "...kwamba, chaguzi za Tanzania huwa si huru na haki.."Katibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki?
Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.
View attachment 2358484
Unahitaji kuwa na akili ya kuvukia barabara tu kung'amua kwamba chaguzi zinazofanyika hapa bongolala hazina uhalisia wowote, ni kiini macho tu......
Mbona inasemekana kuwa watu waliyokuwa wanakosoa enzi za Magufuli walikuwa wanauliwa?Uzuri wa Padre Dr. Charles Kitima, huwa hapindishi maneno. Hata enzi za JPM, alikuwa akisema kile anacho kiamini.
Hivyo asitokee mtu wa kusema 'huyu Padre anakosoa wakati huu kwa sababu Rais ni Muislam'
Nani wa kuchochea hayo machafuko?Namna pekee ya kukabiliana na hizi chaguzi za kihayawani ni aidha nchi kupinduliwa, au machafuko ndio turudi kwenye chaguzi za kweli zitokee. Kenya hapo machafuko ndio yalileta heshima.
Kumekucha.Katibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki?
Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.
View attachment 2358484
Msimamo usioyumba katika dini au?Ni ngumu Sana kwa Sasa kupata viongozi wa dini wenye msimamo usio yumba maana wengi waliopo wamekuwa makasuku Kama waandishi wa habari aina ya kina Pasco mayalla
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app