Sasa mbona hakuuliwa au kutekwa?Kitima ndio mwanaume pekee hapa Tanzania, wengine ni wavaa suruali tu.
Kipindi cha Corona alimchana mtukufu kutoka CHATO kuwa utasemaje Corona haipo wakati sisi tunazika mapadri na masista kila siku?!
Nani wa kuchochea hayo machafuko?
Sasa mbona hakuuliwa au kutekwa?
HAUFANYIKI KWA UHURU NA HAKI kwa Sababu Wahusika ni WEZI wa KURAKatibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki?
Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.
View attachment 2358484
Sijasema machafuko hayawezi kutokea bali nimeuliza ni nani wa kuanzisha machafuko? Ni swali jepesi tu ikiwa tumeona machafuko ndio suluhisho la kufanikisha tunalolitaka je ni nani wa kuanzisha hayo machafuko?Sudan, Egypt, Zimbabwe nk watu walitawaliwa kimabavu kama sisi, na wapambe wa serikali hizo walikuwa wanasema kama ww kuwa ni nani wakuanzisha machafuko, ili ilipotokea hawakuamini.
Issue sio kuuwa watu wote bali ni kwamba inasemwa kuwa enzi za Magufuli kulikuwa hakuna amani na uhuru wa kukosoa kwamba watu waliyokosoa walitekwa na kuuliwa, tukawa tunaambiwa hadi zile maiti za kwenye viroba ambazo japo haikuwa ikijulikana waliyouliwa ni akina nani ila ilikuwa inasemwa kuwa ni wakosoaji wa serikali ya Magufuli na kwamba watu waliogopa kukosoa.Kwani akina Iddy Amini waliua watu wote?
Issue sio kuuwa watu wote bali ni kwamba inasemwa kuwa enzi za Magufuli kulikuwa hakuna amani na uhuru wa kukosoa kwamba watu waliyokosoa walitekwa na kuuliwa, tukawa tunaambiwa hadi zile maiti za kwenye viroba ambazo japo haikuwa ikijulikana waliyouliwa ni akina nani ila ilikuwa inasemwa kuwa ni wakosoaji wa serikali ya Magufuli na kwamba watu waliogopa kukosoa.
Katika mazingira kama hayo ya kwamba hata wasiojulikana tu walishughlikiwa kwa kukosoa sasa tunapoona wanaojulikana wanakosoa tena waziwazi lazima tuulize imekuaje ni kwamba Magufuli aliogopa kumshughlikia huyo Padri au alimuacha tu?
Stahiki ipi hiyo mkuu?Magufuli alishapata stahiki yake kwa maovu yake ya kuua watu tumuache.
Sijasema machafuko hayawezi kutokea bali nimeuliza ni nani wa kuanzisha machafuko? Ni swali jepesi tu ikiwa tumeona machafuko ndio suluhisho la kufanikisha tunalolitaka je ni nani wa kuanzisha hayo machafuko?
Kwahiyo sasa hakuna hao raia wenye hasira kali au kumekosekana mwenye kuchochea hayo machafuko?Raia wenye hasira kali.
Kwahiyo sasa hakuna hao raia wenye hasira kali au kumekosekana mwenye kuchochea hayo machafuko?
Na historia zipo tofauti hazifanani.Kila jambo lina wakati wake, subiri siku hilo litatokea.
Kumbe!Msema kweli mpenzi wa Mungu