Padre Mcharo

Padre Mcharo

KingPower

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
1,115
Reaction score
1,807
Huyu Jamaa Ni moja ya watu weny vituko sna jamii forum

Sikuwepo JF kwa kitambo kidogo ila nilipo Rudi tena Kuna wapya wengi wapo na baadhi ya wa zamani wapo pia

Huyu Jamaa ku mcheck kapigwa banned sijajua shida Ni nin?

Ila kuna baadhi ya wazamani kama kina @Miss_ natafuta wapo
Ila @Miss_Chaga nae kapotea

Huyu Jamaa Padre Mcharo tumuombe arudi maana Ni moja ya watu funny sna
 
tehteh
injinia soma hiyo................
 
Mzee wa mikeka

Naona kwasasa kahamia kwenye mieleka

Nimekumbuka Sana ile interview yake na maneno yake ya shombo kwa wanaKondooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile ID kasumbua nayo sna afu design ulikua unamuelewa sna

Nahisi expectations zako azikumeet na za kwake. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nilikuwa namkubali na ile ID yake ya Chief Engineer kabla mods hawajafanya yao
 
Back
Top Bottom