KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,115
- 1,807
Huyu Jamaa Ni moja ya watu weny vituko sna jamii forum
Sikuwepo JF kwa kitambo kidogo ila nilipo Rudi tena Kuna wapya wengi wapo na baadhi ya wa zamani wapo pia
Huyu Jamaa ku mcheck kapigwa banned sijajua shida Ni nin?
Ila kuna baadhi ya wazamani kama kina @Miss_ natafuta wapo
Ila @Miss_Chaga nae kapotea
Huyu Jamaa Padre Mcharo tumuombe arudi maana Ni moja ya watu funny sna