TANZIA Padre Paul Ignas Shewiyo wa Kanisa la Msimbazi afariki Dunia

Niko jirani na kanisa. Leo kuna misiba miwili, imeingia hapa kanisani. Sijui chanzo cha kifo ila kinachonisikitisha waumini hawavai barakoa na wamejaa kweli kweli! Sasa kanisa di lilitoa waraka kuhusu Corona?!
 
Tatizo kubwa tuliaminishwa vingine hivyo hofu watu hawana kabisa. Familia ikishatingishwa ndiyo wanakimbilia Barakoa.
 
Wiki iliyopita tulimzika Kaka yake Stephen Ignas Shewiyo alikua mfanyakazi wa TCAA Kwa corona tena alifariki KCMC. Leo tena Paul ameenda?! Halafu kuna mashetani yanasema hakuna Corona.
Majina ya Tanga hayo hakutakalika sasa hivi ndugu watakuwa kwa waganga wa kienyeji
 
Acha tu, ujinga umetamalaki sana ndugu yangu. inauma.
 
Tatizo kubwa tuliaminishwa vingine hivyo hofu watu hawana kabisa. Familia ikishatingishwa ndiyo wanakimbilia Barakoa.
Inasikitisha sana kuchanganya sayansi na siasa au ushirikina.
 
Ndugu yake alifariki siku chache zilizopita
 
Attachments

  • IMG-20210204-WA0021.jpg
    46.9 KB · Views: 3
  • IMG-20210204-WA0021.jpg
    46.9 KB · Views: 2
Na advocate Anthony shewiyo nae last week
 
Apumzike Kwa AMANI

Utukumbuke
 
Nini Corona nimekua nae hospital tangu jana. Ni Ndugu yangu wa damu. Nasema CORONA NARUDIA CORONA.
Najua hata Maaskofu hawatasema nasema tena ni corona imemchukua Ndugu yangu.
Pole sana kwa msiba. Ulijuaje kama ni Korona? Ulimpima?
 
Zile tahadhari za kuvaa barakoa na kunawa mikono na maji tiririka na sabuni zilifanikiwa sana, kwa nini wizara isitoe tamko kuhimiza watu warudie kuvaa barakoa kila wanapokuwa kwenye maeneo yenye mikusanyiko? serikali kutoa tamko kuna impact kubwa katika utekelezaji kuliko kuacha kila mtu atumie utashi wake....
 
Baraza la maaskofu walitoa angalizo mapema tu kuhusu tatizo la upumuaji
 
AJABU SANA NAOMBA KUJUZWA HIVI MTU YEYOTE ANAYEFARIKI KATIKA NYAKATI HIZI CHANZO CHA KIFO CHAKE HUWA NI KORONA NAOMBA TUJUZANE HILI KWANZA LINANITATIZA SANA
Kwanini wafe wwngi kiasi hiki kipindi hiki.??

Ni lini umewahi kuona misiba ya mapadre, wachungaji, ma profesa na ma brigedia general mingi na imeongozana kiasi hiki.??

Hivi nyie mnatumia nini kufikiria.??
 
Na advocate Anthony shewiyo nae last week
Ndiyo walimzika jana 4th Feb. Wakiwa mazikoni ndiyo taarifa ya Fr kufariki ikatumwa. Antony Shewiyo (Teye) ni ukoo mmoja huo baba wakubwa na wadogo.
 
Nini Corona nimekua nae hospital tangu jana. Ni Ndugu yangu wa damu. Nasema CORONA NARUDIA CORONA.
Najua hata Maaskofu hawatasema nasema tena ni corona imemchukua Ndugu yangu.
Askofu yeyote atasema ni corona kama imethibitika ila kama ni type ya akina gwa jiii au nabii tito watasema changamoto ya upumuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…