TANZIA Padre Paul Ignas Shewiyo wa Kanisa la Msimbazi afariki Dunia

So sad.
Hawa jamaa wanasomeshwa muda mrefu Sana.
 
AJABU SANA NAOMBA KUJUZWA HIVI MTU YEYOTE ANAYEFARIKI KATIKA NYAKATI HIZI CHANZO CHA KIFO CHAKE HUWA NI KORONA NAOMBA TUJUZANE HILI KWANZA LINANITATIZA SANA
Kabla ya corona vifo vilikuwa vingi kama sasa hivi?
 
Muwe mnasoma ili kupata maarifa. Haya magonjwa ya virus yanayoambukizwa kwa njia ya hewa siyo mara ya kwanza kuikumba dunia. Ukisoma historia kuhusu milipuko ya zamani utaona kuwa huwa kuna awamu. Inakuja awamu ya kwanza, hali inatulia kidogo inakuja awamu ya pili....nk. Na awamu ya pili inaweza kuwa kali kuliko ya kwanza. Watu wanapopiga kelele hatua za kisayansi zichukuliwe siyo wajinga. Kadiri virus wanavyoambukiza watu kitu kinachoitwa mutation kinatokea. Virus wanabadilika na wanaweza kuwa wakali kuliko wale wa awamu ya kwanza.
 
Raha ya milele how
 
Haki ya Mungu maisha yamezidi kuwa. Mafupi zaidi
 
Ndiyo walimzika jana 4th Feb. Wakiwa mazikoni ndiyo taarifa ya Fr kufariki ikatumwa. Antony Shewiyo (Teye) ni ukoo mmoja huo baba wakubwa na wadogo.
coincidence ya kipekee kabisa mungu awalaze pema peponi
 
jiulize juu ya ulichoandika
Kwanini wafe wwngi kiasi hiki kipindi hiki.??

Ni lini umewahi kuona misiba ya mapadre, wachungaji, ma profesa na ma brigedia general mingi na imeongozana kiasi hiki.??

Hivi nyie mnatumia nini kufikiria.??
 
Jamaa mmoja anaita kifungo cha fikra, pia ina maana if wanakufa kwa corona basi familia zao zote watakuwa affected au! !!
AJABU SANA NAOMBA KUJUZWA HIVI MTU YEYOTE ANAYEFARIKI KATIKA NYAKATI HIZI CHANZO CHA KIFO CHAKE HUWA NI KORONA NAOMBA TUJUZANE HILI KWANZA LINANITATIZA SANA
 
Alizikwa wapi mkuu?
 
Alizikwa wapi mkuu?
Huyo ndugu yao Stephen alizikwa kijijini kwao jirani na kijiji cha kwa wakwe zangu. Huyu padre atazikwa Jumanne 9th Feb ibada ya Misa ni Kanisa Katoliki Msimbazi na ninafikiri atazikwa hapo hapo Msimbazi. Sina hakika sana.
 
Moshi?
 
Nini Corona nimekua nae hospital tangu jana. Ni Ndugu yangu wa damu. Nasema CORONA NARUDIA CORONA.
Najua hata Maaskofu hawatasema nasema tena ni corona imemchukua Ndugu yangu.

Chukua tahadhari usisubiri tamko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…