TANZIA Padre Plasidius Mtunguja (Baba Abate) OSB - Abasia ya Ndanda - Masasi afariki dunia

TANZIA Padre Plasidius Mtunguja (Baba Abate) OSB - Abasia ya Ndanda - Masasi afariki dunia

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Posts
15,295
Reaction score
10,928
TANZIA.

Shirika la Watawa wa Mtakatifu Benedicto Abasia ya Ndanda, iliyopo Jimbo katoliki Mtwara, wanatangaza kifo cha Baba Abate wa Abasia ya Ndanda Padre Plasidius Mtunguja OSB, kilichotokea alfajiri ya tarehe 02/03/2021, katika hospitali ya Rufaa Ndanda- Masasi.

Mazishi yatafanyika Jumanne ya Tarehe 9/3/2021 saa tano kamili asubuhi, huko Abasia ya Ndanda.

Habari ziwafikie, watawa wote wa shirika la Mtakatifu Benedicto ndani na nje ya nchi, mapadre, Maskofu, watawa wakike na wakiume, waamini Walei, ndugu jamaa na Marafiki na wote wenye mapenzi mema.

Raha ya Milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie; apumzike kwa amani. Amina.

1614833865208.png
 
Rest in Paradise Baba Abate. Mwendo umeumaliza.

Kanisa Katoliki na viongozi wengine wa dini simameni imara na waumini wenu. Wekeni taratibu mpya za mikusanyiko na mazishi. Tunapoteza mapadre na watawa. Ya Baba Abate imeniuma mno.

Pia mjitahidi kuchukua hatua mapema pale mmoja wenu anapoonesha dalili. Mlio mbali kimbizeni wagonjwa DSM au hospital za mikoa zenye huduma.

Ukiwahi stage 1 na 2 inatibika. Usikae isolation bila tiba sahihi ya hospital ukachanganya na hizo za asili.
 
Dkt. Kitima endeleza kutoa tahadhari kwa viongozi wenu wa dini sehemu mbalimbali
 
Back
Top Bottom