Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HASA PALE KWENYE DIRISHA LA MAUNGAMO NA WAKATI WA COMUNIOWanaambukizwa wanapowahudumia waumini wao!!! Lazima makanisa yaje na utaratibu mpya wa kuwakinga na maambukizi wakati wa kuwahudumia waumini wao.
Contact zao na waumini na misa za mazishi. Tulipoanza kuita Covi19 Pneumonia ndipo tahadhari ikawa siyo. Pia kuruhusu miwili kuzikwa kawaida bila uangalizi wa kitaalam ndiyo kosa kubwa zaidi. Kule kijijini kwetu kuna Marehemu wa COVID alitolewa mjini huko. Sasa wananchi wakajibebea jeneza kawaida. Unaambiwa 5 kifo na mmoja alikuwa hospital. Wengine ndiyo wanaendelea na tiba hizo mjadala ili isiwapate.Why Watu hao wa Mungu wafe sana???😭
Ni kosa kubwa sana alifanya. Mwenzake waliodhurika wote walipohudhuria msiba fulani yeye alipoona hali siyo alikimbilia DSM. Yuko vizuri sasa. Ile kwa nafasi take alivyokuwa nayo Abasia ya Ndanda wao walipaswa kuhakikisha anapata huduma. Walipuuzia. Ni uzembe na wakicheza itawagharimu maana pia hawako serious kuhusu Corona.RIP my school mate.
Bahati mbaya alidharau dalili akakaa mwenyewe siku tano mpaka hali ilipozidi na kushindwa kupumua ndio akajikongoja kuita wahudumu wenzie.
Jamani ukiona dalili tu kimbia haraka.
Pumzika kwa Amani Baba.
Ni wengi mno. Ninaofahamu mimi hata idadi kichwani sina tena. Wanakufa wanazikwa kawaida. Hapo maambukizi mapya mno. Tunafananisha Corona na Pnsumonia? Mungu tuhurumie???Nadhani na wengine wanashambiliwa sana Mkuu.
Ila vifo karibu vyote vya Mapadre na wachungaji vinatangwazwa, wakāti vifo vingi vya watu wa kawaida havitangazwi.
Hisia zangu sio za kitabibu ni kuwa sababu wanajitenga ( isolation) SASA wakati WA kutoa huduma ndio wanakutana na vya duniani ndio maana wanashambuliwa.Mapadre na wachungaji wanashambuliwa sana.
TANZIA.
Shirika la Watawa wa Mtakatifu Benedicto Abasia ya Ndanda, iliyopo Jimbo katoliki Mtwara, wanatangaza kifo cha Baba Abate wa Abasia ya Ndanda Padre Plasidius Mtunguja OSB, kilichotokea alfajiri ya tarehe 02/03/2021, katika hospitali ya Rufaa Ndanda- Masasi.
Mazishi yatafanyika Jumanne ya Tarehe 9/3/2021 saa tano kamili asubuhi, huko Abasia ya Ndanda.
Habari ziwafikie, watawa wote wa shirika la Mtakatifu Benedicto ndani na nje ya nchi, mapadre, Maskofu, watawa wakike na wakiume, waamini Walei, ndugu jamaa na Marafiki na wote wenye mapenzi mema.
Raha ya Milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie; apumzike kwa amani. Amina.
Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumuTANZIA.

Hivi maiti iliyoko ndani ya Jeneza inaambukizaji watu walioko nje, wabeba jeneza?Contact zao na waumini na misa za mazishi. Tulipoanza kuita Covi19 Pneumonia ndipo tahadhari ikawa siyo. Pia kuruhusu miwili kuzikwa kawaida bila uangalizi wa kitaalam ndiyo kosa kubwa zaidi. Kule kijijini kwetu kuna Marehemu wa COVID alitolewa mjini huko. Sasa wananchi wakajibebea jeneza kawaida. Unaambiwa 5 kifo na mmoja alikuwa hospital. Wengine ndiyo wanaendelea na tiba hizo mjadala ili isiwapate.
Contact zao na waumini na misa za mazishi. Tulipoanza kuita Covi19 Pneumonia ndipo tahadhari ikawa siyo. Pia kuruhusu miwili kuzikwa kawaida bila uangalizi wa kitaalam ndiyo kosa kubwa zaidi. Kule kijijini kwetu kuna Marehemu wa COVID alitolewa mjini huko. Sasa wananchi wakajibebea jeneza kawaida. Unaambiwa 5 kifo na mmoja alikuwa hospital. Wengine ndiyo wanaendelea na tiba hizo mjadala ili isiwapate.
Marais wengine wanamuonea wivu rais wa Tanzania. Hana stress ni kama anatawala maiti.Covid 19 = pneumonia ??!! 😒
Dunia nzima inachukua tahadhari dhidi ya Covid ila sisi tu!!!.
Sio bure, Watz nani katuroga???
Marais wengine wanamuonea wivu rais wa Tanzania. Hana stress ni kama anatawala maiti.
RIP our beloved Abate!
Sababu walichelewa kukemea wanasiasa wajingaWhy Watu hao wa Mungu wafe sana???😭
Alijifukiza?RIP my school mate.
Bahati mbaya alidharau dalili akakaa mwenyewe siku tano mpaka hali ilipozidi na kushindwa kupumua ndio akajikongoja kuita wahudumu wenzie.
Jamani ukiona dalili tu kimbia haraka.
Pumzika kwa Amani Baba.
Hakika Mkuu. Tunacheza na huyu kirusi hatari kuliko ukwimwi. Yaani tumelogwa na kulogeka. Yaani tinaongea maneno ya kejeli na jokes na kirusi. Tukibatiza majina kadhaa!!!!. Pneumonia, tatizo la upumuaji n.kCovid 19 = pneumonia ??!! 😒
Dunia nzima inachukua tahadhari dhidi ya Covid ila sisi tu!!!.
Sio bure, Watz nani katuroga???