TANZIA Padre Plasidius Mtunguja (Baba Abate) OSB - Abasia ya Ndanda - Masasi afariki dunia

Dkt. Kitima endeleza kutoa tahadhari kwa viongozi wenu wa dini sehemu mbalimbali
Hakika hata Mimi ninawaunga mkono kanisa Katoliki. Yaani majitoleo yao yanawamaliza. Huku upande wa Pili ukichukyuia Covi19 kama sinema ya Rambo.
 
Why Watu hao wa Mungu wafe sana???😭
Contact zao na waumini na misa za mazishi. Tulipoanza kuita Covi19 Pneumonia ndipo tahadhari ikawa siyo. Pia kuruhusu miwili kuzikwa kawaida bila uangalizi wa kitaalam ndiyo kosa kubwa zaidi. Kule kijijini kwetu kuna Marehemu wa COVID alitolewa mjini huko. Sasa wananchi wakajibebea jeneza kawaida. Unaambiwa 5 kifo na mmoja alikuwa hospital. Wengine ndiyo wanaendelea na tiba hizo mjadala ili isiwapate.
 
RIP my school mate.

Bahati mbaya alidharau dalili akakaa mwenyewe siku tano mpaka hali ilipozidi na kushindwa kupumua ndio akajikongoja kuita wahudumu wenzie.

Jamani ukiona dalili tu kimbia haraka.

Pumzika kwa Amani Baba.
Ni kosa kubwa sana alifanya. Mwenzake waliodhurika wote walipohudhuria msiba fulani yeye alipoona hali siyo alikimbilia DSM. Yuko vizuri sasa. Ile kwa nafasi take alivyokuwa nayo Abasia ya Ndanda wao walipaswa kuhakikisha anapata huduma. Walipuuzia. Ni uzembe na wakicheza itawagharimu maana pia hawako serious kuhusu Corona.
 
Nadhani na wengine wanashambiliwa sana Mkuu.

Ila vifo karibu vyote vya Mapadre na wachungaji vinatangwazwa, wakāti vifo vingi vya watu wa kawaida havitangazwi.
Ni wengi mno. Ninaofahamu mimi hata idadi kichwani sina tena. Wanakufa wanazikwa kawaida. Hapo maambukizi mapya mno. Tunafananisha Corona na Pnsumonia? Mungu tuhurumie???
 

Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu
 
Hivi maiti iliyoko ndani ya Jeneza inaambukizaji watu walioko nje, wabeba jeneza?
 


Covid 19 = pneumonia ??!! πŸ˜’
Dunia nzima inachukua tahadhari dhidi ya Covid ila sisi tu!!!.
Sio bure, Watz nani katuroga???
 
Covid 19 = pneumonia ??!! πŸ˜’
Dunia nzima inachukua tahadhari dhidi ya Covid ila sisi tu!!!.
Sio bure, Watz nani katuroga???
Marais wengine wanamuonea wivu rais wa Tanzania. Hana stress ni kama anatawala maiti.
 
RIP my school mate.

Bahati mbaya alidharau dalili akakaa mwenyewe siku tano mpaka hali ilipozidi na kushindwa kupumua ndio akajikongoja kuita wahudumu wenzie.

Jamani ukiona dalili tu kimbia haraka.

Pumzika kwa Amani Baba.
Alijifukiza?
 
Covid 19 = pneumonia ??!! πŸ˜’
Dunia nzima inachukua tahadhari dhidi ya Covid ila sisi tu!!!.
Sio bure, Watz nani katuroga???
Hakika Mkuu. Tunacheza na huyu kirusi hatari kuliko ukwimwi. Yaani tumelogwa na kulogeka. Yaani tinaongea maneno ya kejeli na jokes na kirusi. Tukibatiza majina kadhaa!!!!. Pneumonia, tatizo la upumuaji n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…