TANZIA Padre Plasidius Mtunguja (Baba Abate) OSB - Abasia ya Ndanda - Masasi afariki dunia

duh sasa hii balaaa - hii changamoto inatupukutisha tusipotumia akili ya mbayuwayu!!
 
Why Watu hao wa Mungu wafe sana???[emoji24]
Mungu kaamua kuwachukua watu wake kutoka kwenye dunia iliyojaa taabu na mateso. Wameenda paradiso
 
Rip, tuendelee kuchukua tahadhaliView attachment 1716760
... quote ya huyo mwamba imetulia sana! Kizazi cha wenye akili nahisi kimepita; kimebaki kizazi cha i-Talk!

"In the End, we will remember not the words of our enemies, but the silence of friends"; Martin Luther King Jr.
 
Binaadamu watu ni wa Mungu,hata wwe ni wa Mungu!!


Watu wa Mungu, watumishi wa Mungu, watu waliojitolea maisha yao yote kufanya kazi ya Mungu na kwa kazi hiyo hulipwa.
 

Si wanasema kwenye 45 - 56°C Kirusi cha Corona kinayeyuka kirahisi tu na kwamba ndiyo maana nyungu ni mwisho wa matatizo?

Dkt. Akili huo si ndiyo ukweli wenyewe au hiyo ni janja ya nyani ya kutafutia mitano mingine kinyemela tu?
 
Hakika mtakufa-Yashike maneno hayo- mengine yote porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…