Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu,
Kuna hii Video inayosambaa inamuonyesha Padre akimpiga konzi msaidizi wake aliyeshika Mic wakati akifungisha ndoa, jambo lililowaacha wageni midomo wazi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu hatua ya mchungaji kumwadhibu msaidizi wake hadharani kwa kushindwa kuielekezea vizuri Mic kwa bwana harusi wakati akifuatisha maneno ya mchungaji huyo.
Huyo angekuwa mtoto wako ungechukua hatua gani?