Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
C Bora skanka mkuu inakufanya uchangamke akilii..dini n uwendawazimu na ukichaa ukimpata mtu kuchomoka huko n kazi sanaa😀😀dini ni zaidi ya skanka
Huyo haitwi mchungaji. Jifunze kutumia msamiati sahihi mahali sahihiWakuu,
Kuna hii Video inayosambaa inamuonyesha mchungaji akimpiga konzi msaidizi wake aliyeshika Mic wakati akifungisha ndoa, jambo lililowaacha wageni midomo wazi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu hatua ya mchungaji kumwadhibu msaidizi wake hadharani kwa kushindwa kuielekezea vizuri Mic kwa bwana harusi wakati akifuatisha maneno ya mchungaji huyo.
wenzio wanawaogopa hao kama MunguWakuu,
Kuna hii Video inayosambaa inamuonyesha Padre akimpiga konzi msaidizi wake aliyeshika Mic wakati akifungisha ndoa, jambo lililowaacha wageni midomo wazi.
Tukio hilo limezua mjadala kuhusu hatua ya mchungaji kumwadhibu msaidizi wake hadharani kwa kushindwa kuielekezea vizuri Mic kwa bwana harusi wakati akifuatisha maneno ya mchungaji huyo.
Huyo angekuwa mtoto wako ungechukua hatua gani?
heshimu hata mtumishi wa Mungu baasiWakuu,