TANZIA Padre wa Jimbo la Bukoba Afariki kwa Ajali ya Pikipiki

Duh hii pikipiki mbona imeharibika hivyo duh imegonga punda nini
R I P
 
Apumzike kwa amani.

Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli. Uf. 21:4
 
View attachment 2721859
TANZIA -JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA

Askofu Method Kilaini, anawatangazia kifo cha padre Asterius Mutegeki, kilichotokea tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana aliyepadrishwa mwaka jana Julai 2022. Ni mzaliwa wa visiwa vya Bumbile na Padre wa kwanza kutoka visiwa hivyo. Ni majonzi makubwa. Alikuwa anafanya kazi katika Parokia ya Ishozi wilaya ya Misenyi Jimboni Bukoba.

Pole sana kwa Ta Wincheslaus Barongo baba yake Pamoja na Mama yake na wana Bumbile wote. Pole kwa mapadre, watawa na waamini wa jimbo la Bukoba na kanisa zima la Tanzania.

Sote tumwombee kwa Mungu apumzike kwa amani Amina.

RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI.

Askofu Method Kilaini
Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki la Bukoba
Hiyo hajari hilitokeaje aligongwa au alianguka fafanua
 
R.I.P raha ya milele umpe eeeeh bwana na mwanga wa milele umwangazie 🙏🙏🙏
 
View attachment 2721859
TANZIA -JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA

Askofu Method Kilaini, anawatangazia kifo cha padre Asterius Mutegeki, kilichotokea tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana aliyepadrishwa mwaka jana Julai 2022. Ni mzaliwa wa visiwa vya Bumbile na Padre wa kwanza kutoka visiwa hivyo. Ni majonzi makubwa. Alikuwa anafanya kazi katika Parokia ya Ishozi wilaya ya Misenyi Jimboni Bukoba.

Pole sana kwa Ta Wincheslaus Barongo baba yake Pamoja na Mama yake na wana Bumbile wote. Pole kwa mapadre, watawa na waamini wa jimbo la Bukoba na kanisa zima la Tanzania.

Sote tumwombee kwa Mungu apumzike kwa amani Amina.

RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI.

Askofu Method Kilaini
Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki la Bukoba
Hatar
 
Rest in hell
 
Back
Top Bottom