Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Mbona barua inasema aliacha kazi kwa hiari yake mwenyewe. Habari ya kufukuzwa inakuja vipi. Mara nyingine muache kujitoa ufahamu nyie nyumbu. Hiyo kimsingi ni barua ya taarifa na kuthibitisha jamaa kuacha kazi.

Pia kila mty anao uhuru wa kuishi atakavyo. Hata kadinali anaweza kuamua kubadilisha mwelekeo wa maisha yake.
 
Alienda kusikojulikana. Amesimamihswa maana kabla ya hapo alikuwa bado hajajibiwa.
 
Kwani upadri ni kazi yani namanisha ajira???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…