Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Hivi hii haiwezi ku-Apply na kwa Gwajima pia?

Ya kaisari mpe kaisari, ya Mungu mpe Mungu.
 
Alistaafu madaraka ya jimbo kuu la Dar es Salaam, ila bado yeye ni askofu na pia Kardinali. Halafu si kwamba kila anayekuwa askofu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam basi lazima awe Kardinali.
Why aandikiwe yeye kama kiongozi akati ashastaafu?
 
Bado Sheikh Majini
Usilinganishe Masheikhe na vitu vya kipumbavu. We unaamini aliyeandika barua ameshirikisha ubongo wake mtu hajulikan halipo alaf anagombea, Ameandika barua ya kuacha kazi alaf Ameachishwa upadre anaandikiwa barua ili wawasiliane. Askofu anakosa namba ya Padre wake , anakosa email ya Padre wake
 
Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Ruwaichi sio Cardinal ni askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es Salaam.
Pengo bado ni Cardinal ameng'atuka kwenye nafasi ya uaskofu. Amebaki kuwa Askofu mkuu mstaafu na Cardinal.
 
sa
Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!

Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939
safi sana kanisa katoliki that's huwa naeshim sana zehebu hili bila kusahaw ndugu zangu waislam ,angilikana na waruteri mungu awabariki na kama aitoshi ni mda muafaka watumishi wote walioenda kutia nia katika mjimbo nao watimuliwe wakatumikie siasa maana kuwaacha mnaenda kuingiza tahasisi zetu kwenye siasa ,watimuliwe tu ili wajipange vizuri kwa miaka ijayo,maana mwaka huu umetia for a haijawai tokea
 
Kasisi hata angegombea kupitia Chadema angesimamishwa tu. Hawaruhusiwi kabisa kuwa wanasiasa na hata Magufuli akisimama pale madhabahuni hawezi kamwe kutoa maamuzi ya kiuongozi akiwa pale zaidi ya kuongea tu kama muumini wa kawaida.
Ipi ifuatwe Katiba ya nchi inayo mpa mwananchi Hakj ya kuchagua na kuchaguliwa, au Katiba ya Kanisa Katoliki inayo weka Mipaka?!
 
Ataandikiwaje pengo ikiwa Alisha staafu na kwa Sasa cardinali ni Rwaichi,hiyo barua nibya uongo
Rwaichi ni askofu wa jimbo kuu la Dar es Salaam. Pengo ni Kadinali na atakufa kadinali, alistaafu uaskofu wa jimbo kuu la Dar es Salaam tu.
 
Anastahili adhabu
Ajiunge na wajumbe
 
Back
Top Bottom