Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Uchaguzi 2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

Je, tapeli gwajima atajifukuza mwenyewe?
Msanii toka kitambo yule, na kawashika kisawa sawa wafuasi wake, hata baada ya kucheza picha la ngono na zaidi ya nusu ya wafuasi wake kuitazama lakini bado wanajiita wakristo, acha aendelee kuwatafuna kondoo na kuwaibia hela anazoziita sadaka
 
Mmh huu utiaji nia mwaka huu sio mchezo hadi padre[emoji849]
 
Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Rwaichi sio Cardinal lakini pia sijaona katika barua hii popote majina ya watu uliyoyataja yakijitokeza.. Soma tena barua Tafadhali
 
Alistaafu madaraka ya jimbo kuu la Dar es Salaam, ila bado yeye ni askofu na pia Kardinali. Halafu si kwamba kila anayekuwa askofu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam basi lazima awe Kardinali.
Ukiwa askofu mkuu wa jimbo katoliki dar lazima uwe cardinal refer kwa cardinal aliyepita kabla ya pengo
 
Rwaichi sio Cardinal lakini pia sijaona katika barua hii popote majina ya watu uliyoyataja yakijitokeza.. Soma tena barua Tafadhali
Mhashamu cardinal polycarp pengo ni cheo au ni jina?
Polcarp pengo hili ni jina na limetajwa kwenye barua juu kushoto yeye ndiye kaandikiwa,cheo ni mhashamu cardinal
 
Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
Mkuu, Pengo ni Kardinali, na Ruwa'ichi sio Kardinali. Usichanganye ukadhani Uaskofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kwamba ndio Ukardinali
 
Tungepitisha sheria ukigombea uongozi Wa kisiasa uongozi Wa Dini unasimama Mara moja, gwajima na kina msigwa wasiruhusiwe kusimama kwenye mimbari tena
 
Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!

Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM
View attachment 1523939
We kweli kilaza, barua inaonyesha hapo kabisa amesimamishwa we unatuletea upururu wako hapa eti amefukuzwa? Bawacha mna tatizo gani?
 
Mimi ni mkatoliki,hilo unalo dai siyo sahihi.Ruwaich ni Askofu mkuu wa jimbo la Dsm na Pengo anabaki kuwa Kardinali wa Tz hadi pale baba Mtakatifu atakapomtangaza kardinali mwingine mpya wa Tanzania
Hii barua ni ya uongo cardinal pengo Alisha staafu kwa Sasa cardinali ni Rwaichi Kama sijakosea
 
Tanzania haina Kadinali bado. Ruwaichi ni Askofu mkuu. Pia bado Pengo hajaagwa kwa misa takatifu!
Kardinali huwa hastaafu, ukardinali ni hadhi atakua nayo Pengo maisha yake yote. Alistaafu uaskofu mkuu wa Dar, akarithiws na mh. Ruwaichi. Pia anabaki kuwa askofu milele ila sio msimamizi wa jimbo tena (= Archbishop emeritus) Ni vizuri pia kujua kardinali hana eneo maalum la kiutawala hivyo sio mkuu wa kanisa ktk nchi fulani.
 
Back
Top Bottom