2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa za siku hizi bwana!
Kuna staff mwenzangu wamefunga ndoa 30/7/2017 ila hivi ninavyo andika hii comment wameshatengana na wako kwenye kesi ya kugawana mali!
Picha tafadhaliHelow wana zengwe
Natumai mko poa
Uzi wangu inajieleza! Nadhan tukipata historia ya mke wa jamaa kuna cha kujifunza
NB; moderator usifute japo fupi!
Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app