Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi jamaana akajiuma lakini akasema ni watano,
Naye bi harusi naye akasema watano. Hii nimeipenda sana yani si kuwafungisha ndoa tu lazima waseme walikuwa wangapi hadi wakachaguana.
===========