TANZIA Padri Bonaventuta Kisamaka afariki dunia

Alikuwa ni padri mmoja noma sana!Kila siku misa ya asubuhi ni saa tisa kamili usiku,ukichelewa hata dakika moja anakufungia nje halafu adhabu yake unapaswa ukachote mchanga wa ujenzi mtoni debe mia!
Hasara kwa nani sasa?
 
Hahahahaah sasa ukiacha kwenda kanisani si anaweza akakufungia safari kukufuata nyumbani kabisa.
 
Uru shimbwe itakukumbuka daima pumzika kwa amani Padri Kisamaka...duhhh..
 
Nitamkumbuka akiwa Kibosho enzi hizo, R.I.P father Padri. Kisamaka.
 
Makofi kwa biblia πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…