Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Hasara kwa nani sasa?Alikuwa ni padri mmoja noma sana!Kila siku misa ya asubuhi ni saa tisa kamili usiku,ukichelewa hata dakika moja anakufungia nje halafu adhabu yake unapaswa ukachote mchanga wa ujenzi mtoni debe mia!