TANZIA Padri Bonaventuta Kisamaka afariki dunia

TANZIA Padri Bonaventuta Kisamaka afariki dunia

Alikuwa ni padri mmoja noma sana!Kila siku misa ya asubuhi ni saa tisa kamili usiku,ukichelewa hata dakika moja anakufungia nje halafu adhabu yake unapaswa ukachote mchanga wa ujenzi mtoni debe mia!
Hasara kwa nani sasa?
 
Halafu ni kama alikuwa na kipaji fulani hivi kwenye hayo mambo ya dini.Kanisa lake lina waumini wengi sana(mamia ya watu) ila siku ukikosa kanisani halafu ukaja jumapili inayofuata anagundua,ni anatoka kule mbele anakufuata halafu anakupiga makofi mengi sana kwa kutumia biblia halafu anakupa adhabu ya kwenda kuchota mchanga mtoni debe mia ambako ni mbali sana na pana milima mingi!
Hahahahaah sasa ukiacha kwenda kanisani si anaweza akakufungia safari kukufuata nyumbani kabisa.
 
Uru shimbwe itakukumbuka daima pumzika kwa amani Padri Kisamaka...duhhh..
 
Halafu ni kama alikuwa na kipaji fulani hivi kwenye hayo mambo ya dini. Kanisa lake lina waumini wengi sana(mamia ya watu) ila siku ukikosa kanisani halafu ukaja jumapili inayofuata anagundua,ni anatoka kule mbele anakufuata halafu anakupiga makofi mengi sana kwa kutumia biblia halafu anakupa adhabu ya kwenda kuchota mchanga mtoni debe mia ambako ni mbali sana na pana milima mingi!
Makofi kwa biblia 😂🤣😅🤣😅
 
Back
Top Bottom