TANZIA Padri Bonaventuta Kisamaka afariki dunia

Itabidi ibada isimamishwe kwa muda, mapadre wetu wanaisha

Maambukizi zaidi ya Covid19 (superspreader) ni kipindi cha maungamo(during confession), na pia wakati wa kukomunisha!
 
Huyu padri alikuwaga kiboko! Nakumbuka sikuwahi kupata kipaimara hadi leo kwa sababu ya huyu Mzee.
Mku kwa kung'oa Mawe ya Bokidi huko Kibosho au kwani ndo alikomesha mila za kizamani.
Mm mwenyewe nilikuwa naomba Mungu sana niende kumsalimia na kupata Maombi.
Nilichunguza pa kumpata nikaambiwa alikuwa ktk kile cha Mwenge Moshi.
Mungu ailaze Roho yake mahali pema Peponi.
Amina
 
Amesumbua sana Moshi huyu padri.
 
Tulikuwa tunapambana na chui sana.Imagine Misa inaanza saa tisa kamili usiku halafu kanisa lipo umbali wa 5Km na tunatembea kwa miguu vijijini huko!
Hahah We jamaa ni mkibosho wa wapi?

Mungu amjalie pumziko la milele Padre Kisamaka.. aligusa maisha ya wengi
 
H
Hii inashangaza kwakweli. Makofi ya biblia yanauma kuliko ya kawaida, unaweza ukashangaa jaws zote zimejikusanya upande mmoja🤓😆
 
mama D umenitisha kwa neno
 
mama D umenitisha kwa neno
Kama kweli wewe ni muumini wa Mungu aliye hai..... Ukiona kitu kimeshindikana kwa uwezo waliopewa wanadamu, jisalimishe kwa yule mwenye nguvu, uwezo na mamlaka zote juu ya ulimwengu huu na vitu vyote.
Hajawahi kuishindwa wala hatashindwa🙏
 
Hahah We jamaa ni mkibosho wa wapi?

Mungu amjalie pumziko la milele Padre Kisamaka.. aligusa maisha ya wengi
Kisamaka hakuanzia Kibosho.Kisamaka alihamishiwa kibosho akiwa ameshazeeka.Kisamaka kijana hakuwa huyo Kisamaka wa Kibosho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…