The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
umbwe na kina ndakidemiUmbwe mission
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umbwe na kina ndakidemiUmbwe mission
Itabidi ibada isimamishwe kwa muda, mapadre wetu wanaisha
Mku kwa kung'oa Mawe ya Bokidi huko Kibosho au kwani ndo alikomesha mila za kizamani.Huyu padri alikuwaga kiboko! Nakumbuka sikuwahi kupata kipaimara hadi leo kwa sababu ya huyu Mzee.
Amesumbua sana Moshi huyu padri.Mku kwa kung'oa Mawe ya Bokidi huko Kibosho au kwani ndo alikomesha mila za kizamani.
Mm mwenyewe nilikuwa naomba Mungu sana niende kumsalimia na kupata Maombi.
Nilichunguza pa kumpata nikaambiwa alikuwa ktk kile cha Mwenge Moshi.
Mungu ailaze Roho yake mahali pema Peponi.
Amina
Hata Umbwe watamkumbuka sanaUru shimbwe itakukumbuka daima pumzika kwa amani Padri Kisamaka...duhhh..
Alikuwa hapendi Ujinga kabisaAmesumbua sana Moshi huyu padri.
Alikuwaga anatoa adhabu kali sana.Mimi misa za saa tisa kamili usiku zilinishinda ikasababisha hadi leo sina kipaimara!Alikuwa hapendi Ujinga kabisa
Hao wachawi walipata kibano gani?Pole sn kumbe ulikumbana na kibano chake!
Ht wengi waliokua wachawi walipata kibano pia.
Hahah We jamaa ni mkibosho wa wapi?Tulikuwa tunapambana na chui sana.Imagine Misa inaanza saa tisa kamili usiku halafu kanisa lipo umbali wa 5Km na tunatembea kwa miguu vijijini huko!
Baadhi walirudisha na kuonywaHao wachawi walipata kibano gani?
Hii inashangaza kwakweli. Makofi ya biblia yanauma kuliko ya kawaida, unaweza ukashangaa jaws zote zimejikusanya upande mmoja🤓😆Halafu ni kama alikuwa na kipaji fulani hivi kwenye hayo mambo ya dini. Kanisa lake lina waumini wengi sana(mamia ya watu) ila siku ukikosa kanisani halafu ukaja jumapili inayofuata anagundua,ni anatoka kule mbele anakufuata halafu anakupiga makofi mengi sana kwa kutumia biblia halafu anakupa adhabu ya kwenda kuchota mchanga mtoni debe mia ambako ni mbali sana na pana milima mingi!
Waumini walikuwa hawamsemi kwa pembeni?Padri alikuwa mtata huyu balaa duhhh pumzika baba
mama D umenitisha kwa nenoKipimo cha imani zetu anakijua Mungu tuu
Kwa waamini wa uwepo wa Mungu miaka yetu ya kuishi anayo yeye muumba iwe ni kwa corona, malaria, presha, sukari, ajali au hata bila ugonjwa. Hakuna cha kuuondoa uhai wetu bila Mungu kuachilia kibali, na kibali kinategemea na uaminifu wetu kwake na moyo wa toba.... kama kweli tunaanza nae na kumaliza nae Mwenye enzi.
Mama yetu Gertrude alitwaliwa katika 70 yake na tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya uhai wake
Kama kweli wewe ni muumini wa Mungu aliye hai..... Ukiona kitu kimeshindikana kwa uwezo waliopewa wanadamu, jisalimishe kwa yule mwenye nguvu, uwezo na mamlaka zote juu ya ulimwengu huu na vitu vyote.mama D umenitisha kwa neno
Kisamaka hakuanzia Kibosho.Kisamaka alihamishiwa kibosho akiwa ameshazeeka.Kisamaka kijana hakuwa huyo Kisamaka wa Kibosho.Hahah We jamaa ni mkibosho wa wapi?
Mungu amjalie pumziko la milele Padre Kisamaka.. aligusa maisha ya wengi