TANZIA Padri Cephas Mgimwa Afariki Dunia

TANZIA Padri Cephas Mgimwa Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Padri Cephas Mgimwa amefariki leo katika Hospitali ya Teule ya Tosamaganga Iringa

Makamu Mkuu wa Chuo amesema katika tangazo la kifo kuwa taarifa za siku na eneo ambalo atazikwa zitatolewa


View attachment 1728772

Apumzike kwa amani mja wa mola huyu.

Chanjo ya AstraZeneca tu ingekuwa imeokoa maisha ya mja wa mola huyu.

Ila sasa bwana yule msimamo wake kama ulivyokuwa.
 
Wakati tukiendelea na majonzi ya Kuondokewa na The late, tunaomba serikali ifikirie kuintroduce vaccine immediately.

Kuna maisha baada ya maombolezo
 
Mlitaka afe,Lakini Mungu akamponya.
Ahimidiwe Mungu wa mbinguni peke yake,anayejua kikamilifu siku za uhai wetu.
Vigugumizi vinawashika wakimuona alivyo strong kabisa. Kampeni alichakaza pamoja na fitina zote. Tumuogope Mungu awezaye kuua roho na mwili. Tingeijua kesho yetu tungetafakari yale tuyatendayo kwa wengine.
 
Back
Top Bottom