Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Kama mwaka 2015 waliweza kupata wabunge, mfano kuna chama kimoja kilifikisha wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 45, iweje mara inayofuata anakuja kupatikana mmoja tu, huoni pale kuna dosari?
Tumevuruga historia ya uchaguzi wa nchi, na hili siyo jambo zuri na halitaiponya nchi, litaiangamiza nchi kisiasa.
Hatujasema kwamba chama tawala kisipate kura nyingi, lakini zile chache walizozipata watu wa upinzani kwanini zikataliwe, kwanini waenguliwe, kwanini kura zile zivuruguke? Hatutetei chama hapa, tunatetea watu wanaogombea na wale wanaopiga kura. Kura ya mtanzania iheshimiwe, utawala wa mtanzania umepokonywa.
Katibu Mkuu wa TEC
Padri Dkt. Charles Kitima
August 4, 2025-DW