GE2025 Padri Charles Kitima: Tumevuruga Historia ya Uchaguzi wa nchi, si jambo zuri, halitaiponya, litaiangamiza kisiasa

GE2025 Padri Charles Kitima: Tumevuruga Historia ya Uchaguzi wa nchi, si jambo zuri, halitaiponya, litaiangamiza kisiasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa hapo alikua anamsema muuaji wa kikatoliki magufuli au alikua anasema corona ipo?


Muwe na akili ya kutunza kumbukumbu.

TEC wakati wa hayati Magu ilitoa waraka mkali kukemea uvunjifu wa haki kuliko wakati wowote, hali iliyosababisha Kanisa Katoliki kulipishwa mpaka kodi kwa items zinazotumika kwenye masuala ya imani.
 
Sijawahi kumuona huyu jamaa akihubiri injili
 
Back
Top Bottom