Padri Dkt. Kitima: Sikujua sababu ya kuitwa Ikulu, msimamo wetu ni ule ule, hatukubaliani na IGA

Padri Dkt. Kitima: Sikujua sababu ya kuitwa Ikulu, msimamo wetu ni ule ule, hatukubaliani na IGA

Sikiliza we dogo

Umeanza na kwamba Mimi ni public servant, sasa unahamisha mada tena

Stay focused

Hoja ilikua Safi ukatafuta pa kutokea

SMDH
EeeehEEE Heeeee!

Sina tatizo kubwa na wewe; mbali ya kujichanganya mwenyewe kwenye uandishi wako.

Endelea kwa wakati wako.
 
Unajua uaskofu unavyopatikana? Au unadhani uaskofu na mambo ya seniority? Nikwambie tu sio Kila mahali panahitaji Askofu au Kila padre maarufu anahitaji kuwa Askofu katoliki vyeo sio kama vya serikali wanavyogwana kishikaji shikaji.Jiulize kwanza jimboni kwa Fr.Kitima kuna hitaji Askofu?
Ahahahahaha! Wakati naanza kusoma nikafiri unajua unaochoandika. Nimefika mwishoni nikaishia kucheka! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom