Unajua uaskofu unavyopatikana? Au unadhani uaskofu na mambo ya seniority? Nikwambie tu sio Kila mahali panahitaji Askofu au Kila padre maarufu anahitaji kuwa Askofu katoliki vyeo sio kama vya serikali wanavyogwana kishikaji shikaji.Jiulize kwanza jimboni kwa Fr.Kitima kuna hitaji Askofu?