Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Kupitia hiyo simu yako fuata hii link upate elimu ndogo sana.
 
Hao ndio wanasababisha vijana wakose ajira
Sasa mavyeo yote ya nini hayo

Father Dkt. Henry Rumisho (PhD) Ni Komandoo Wa JWTZ, Padre Wa Kanisa Katoliki, Lecturer Wa Ardhi Uni Na Architect. Hapa Henry Yuko Kwenye Graduation Yake Ardhi University Ambapo Ametunukiwa PhD In Architecture.
 
Hapati moral conflict kua padre na komandoo at the same time?
 
Ndio..
Paroko wetu alikua ni mwanajeshi, sema alikua ni mbabe balaa. Siku moja alimchapa bibi mmoja vibao kwakua bibi alipewa Eucharist akaenda kukaa nayo kwenye kiti badala ya kuila.
He was out of line but he was right.

Aliwahi niabisha siku moja mbele ya kanisa sitasahau. Ni moja kati ya siku niliyoaibika vibaya mbele za watu
 
Duh...

Ningependa kujua cv yake kijeshi
Kapigana vita gani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…