Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Japokuwa kwangu hiyo source ya habari siyo credible ila kama ni kweli then hongera zake.

Jeshi linahitaji sana professionals siyo watu hoyahoya kama wale jamaa zake Mbowe.
 
Wana Jamii From!

Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu!

Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena komandoo??

Picha hapo chini ni Padre Henry,ambaye ni mwanajeshi komandoo,ambaye katunukiwa PhD yake ya Architecture! View attachment 2032978
Sio wa jeshi letu aisee hiyo camouflage ya Sudan afu ni honorarium hiyo sio chaplain (aisee haya ni mawazo yangu lakini)
 
Usishangae ukaambiwa Ana Shea clouds [emoji28].. ni sawa na kuuliza kwa nn muuza visimbuzi anatuuzia maandazi, kama hatuli tununue ngano yake tukaunde wenyewe! Wakt huohuo ana tutim twa mpira kule chamaz
 
Siku zote tunasema kwamba kikwazo cha kuendelea na masomo kiko ngazi za chini, hasa kidato cha nne kimewekewa tope jingi la kukwamishwa kufikia elimu za juu. Chuo kikuu unapata degree unaiona, ni mserereko kupata elimu zaidi na zaidi utakavyo. Huko chini ndio basi ukikwama hata serikali haijihusishi na walikwama kwenye tope la kielimu liliwekwa kwa makusudi kupata wachache wa kusoma elimu za juu. Inauma sana kupotezewa malengo ya kufika vyuo vikuu kwa masomo zaidi
 
Sasa subirini Yericko aje ashuke gazeti na zile ngano zake [emoji119][emoji1][emoji1]
Zile ngano za masista maryknol kumbe ni wamama wa daslamu enzi wakiwa na baibui zao.
Mzee MS alimsambaratisha vibaya😄😄
 
Back
Top Bottom