smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
kanisa katoliki limejipenyeza sana.Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi niambia! Baadhi ya Ma Padre ni majasusi! Nimeanza kuamini hili suala! Ndiyo maana unakuta padre mzungu yuko vijijini ndani ndani kabisa huko,anaishi nyumba haina hata umeme,maji shida,usafiri shida, Mawasiliano ya simu shida! Lakini yuko na anaishi huko hata miaka 10
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
kuna article moja niliwahi kuisoma kwenye mtandao wa quora. ilieleza kinagaubaga nguvu ya kanisa katoliki katika medeni za ujasusi.
muandishi aliandika, CIA na teknolojia zao zote, kuna baadhi ya information wakikwama kuzipata, huwa wanalitumia kanisa katoliki kuwafanyia information gathering.
hili dhehebu ni zaidi ya vile watu wanavyolichukulia. i'm proud to be a roman catholic.