Padri Katika Njama za Kumuua Mpenzi wake...

waizi wakizidi hatusemi bora uwiz uhalalishwe padri akiwa na tamaa zake hatuwezi kuvunja sheria za kanisa maana hakulazimishwa kuwa padri na alijua sheria za kuwa padri mapema tuu
Gaudence!nimekusoma,ila kuna tetesi kuwa hawa mapadri mara kadhaa wamekuwa wanaomba kuruhusiwa kuoa!!
 
Last edited by a moderator:
Bila maelezo ya kutosha tunasadiki vipi? Mbona hujatutajia jina la padri au unataka kusema polisi wamemuogopa? Acheni kuleta Thread za kuchafuana hapa jamvini
 
kwa kuwa ni padri,hatakamatwa!ile kesi ya padri kimaro wa udsm kukalawiti katoto imeishia wapi?maana alifumwa live njia ya msewe porini
 


Kama kimya kama hujui usemalo. Ya ngoswe mwachie ngoswe, hakuna aliyemkataza padri kuoa bali mapadri ni waseja, hawaoi. Hivyo kabla ya kuingia upadre, alikuwa alijua waziwazi na alikuwa na choice na alilijua hili na aliamua mwenyewe.
:closed_2:
Swala la KUOA KWA MAPADRE HALINA MJADARA na msipoteze muda kutoa mtazamo wa mawazo yako.
 
Nijibu kwanza.

Hawa wachungaji waliomo kwenye mifano kwenye links hapo chini je wanaruhusiwa kuoa au hawaruhusiwi? Kwa nini hilo tu ndilo unaloliona?


HII NI VIDEO YA MCHUNGAJI ALIYENASWA AKIZINI NA MWANAMKE TASA AMBAYE ALIDANGANYWA KUWA ATAPATA MTOTO!! - GUMZO LA JIJI

Mchungaji afumaniwa na Mke wa Mwanakondo LIVE.

mchungaji wa kiume afumwa akimuogesha mke watu

JICHO LANGU BLOGU: MTWANGA INJILI WA MIAKA 46 ABAKA KIBINTI CHA MIAKA 14

Mchungaji atuhumiwa kumbaka mwaanafunzi

Je hakuna mapadre ambao ni waaminifu na wacha Mungu licha ya kuwa ni waseja?

Inabaki imani ya mtu. Wanaofanya skendo hizo ni wale wanaoona utumishi wa Mungu ni kama biashara na si wito.

Hao wanachafua utumishi wa Mungu si kwa wasiooa tu, bali hata kwa wanaooa.
 

Kuoa sio suluhisho,kwani waliooa wangapi wenye wanawake mji mzima?kama kuoa ndo kuacha kukamua nje...then tusingeona nyumba ndogo!hii habari ina mapungufu mengi, haiingi akilini mtu mzima eti akanyagwe na gari,alikuwa kafungwa kamba?asilikwepe?
Yawezekana tukio hili lipo lakini halipo kama mleta habari anavotaka tulielewe!habari imekaa kiushabiki zaidi.
 
natamani nipinge hii sredi kutokana na ukatoliki wangu lakini daah!!!

kuna stori niliskia toka kwa 'witnes'
kama hii...
Angefanikiwa kumuua na akatoweka bila kuonekana ingeingizwa issue ya kidini sababu ni sister! Naona kupitia huu mkasa mtajifunza mengi si kila Padre au Askofu ye ni Malaika. Yawezekana hata wanaoambiwa wauza unga kweli tu. Dini za ujanja ujanja tu
 

Kama unajua sheria za kanisa katoliki,hakuna sista mwenye mimba au watoto!kwa hivo usipotoshe jamii!
Huyo hakuwa sister bora tu useme mzinzi mwenzie,tunaweza kuelewa!
 
Wakuu Kamanda Moshi na Mchami maoni yenu nimeyasoma na kuyaelewa, nia haikuwa malumbano bali kuelimishana na naamini wote tulikuwa na lengo moja la kuonesha kwa jinsi gani tunakerwa na watu waliochagua kuishi katika njia za kumpendeza Mungu ndio wanakuwa wahusika wakuu wa mambo machafu. Pamoja wakuu.
 
Even the born again are sinners, as the Bible says Only God is Holy, its only that we were served by the Grace of God and through that we live by repenting.
Is better for God to bless the "born again" and leave alone sinners.
 
Padri kuzini na kuzaa ni dhambi kama mtu mwingine anapozini. Padre kufanya shambulio la kudhuru mwili ni dhambi kama mtu mwingine aliyekosa upendo. Padri anatakiwa atubu kwa Mungu kutokana na dhambi zake, lakini pia bila shaka atashtakiwa kwa kufanya shambulio la kudhuru mwili
 
Kama unajua sheria za kanisa katoliki,hakuna sista mwenye mimba au watoto!kwa hivo usipotoshe jamii!
Huyo hakuwa sister bora tu useme mzinzi mwenzie,tunaweza kuelewa!

ushabiki mwingine siuelewagi kabisa! Kwani sister na Padri nani mwenye wadhifa mkubwa kanisani? Iweje Padri azini, ashindwe kuzini Sister? Nikukumbushe tu ili sehemu ile yaani...... Ni tamu sana haina mjanja ilee ndugu yangu
 
Mie mpaka hapa nilipofikia ni mtu mzima. Nashuhudia kuwa sijawahi muona padre anaemhofu Mungu zaidi ya kuhofu wale wanaomzunguka dhidi ya uhalifu wao.
Ina maana huko porini alikompeleka huyo mkewe haamini kama mungu anaedai kumtumikia yupo?
.
 
Mie mpaka hapa nilipofikia ni mtu mzima. Nashuhudia kuwa sijawahi muona padre anaemhofu Mungu zaidi ya kuhofu wale wanaomzunguka dhidi ya uhalifu wao.
Ina maana huko porini alikompeleka huyo mkewe haamini kama mungu anaedai kumtumikia yupo?
.

mungu si alimuacha kanisani, amepakatwa na bikira maria?
 
ushabiki mwingine siuelewagi kabisa! Kwani sister na Padri nani mwenye wadhifa mkubwa kanisani? Iweje Padri azini, ashindwe kuzini Sister? Nikukumbushe tu ili sehemu ile yaani...... Ni tamu sana haina mjanja ilee ndugu yangu

Kaka soma habari ya jamaa!ni kwamba kasema padri ametaka kumuua mpenziwe ambaye ni sister! Sasa mie naposema haiwezekani akawa sister nina maana moja:kwa wakatoliki masista huwa pia hawatakiwi kuolewa/kuzaa wala kuzini.akizini ikafahamika huwa anafukuzwa usista!sote twakubali hawez kuzaa kwa siri as masista wote huwa wanakaa convent,sasa hiyo mimba kabebea wapi isionekane na azalie wapi isionekane?maana yake ni lazima atakuwa kashafukuzwa usista!sasa je mtu ambaye aliwah kuwa sister akafukuzwa,leo waweza muita sista?
Ni sawa na mtu sasa aseme Rais amelazwa hospital,lakini akiwa anamuongelea Mkapa!je itakuwa sahihi?ndio maana nasema habari iko kiushabiki kama sio kiumbea zaidi!
 
mungu si alimuacha kanisani, amepakatwa na bikira maria?

Mkuu heshima yako,si vyema kaka kuongelea iman ya watu (ambayo wewe huijui) kama ulivoongea hapa!
Tafadhali ukiwa muungwana wa kutosha delete hiki ulichoandika!
Thank you kaka!
 

kaz ipo.mwingra nae alifanyaje?
 
Mkuu heshima yako,si vyema kaka kuongelea iman ya watu (ambayo wewe huijui) kama ulivoongea hapa!
Tafadhali ukiwa muungwana wa kutosha delete hiki ulichoandika!
Thank you kaka!

swala hapa ni kwamba padri alitaka kumuua mzinzi mwenziwe sasa hayo ya kufuta bandiko langu kisa? Basi nsamehe sitorudia tena kumsema mungu hata kama kweli yupo kanisani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…