Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Gaudence!nimekusoma,ila kuna tetesi kuwa hawa mapadri mara kadhaa wamekuwa wanaomba kuruhusiwa kuoa!!waizi wakizidi hatusemi bora uwiz uhalalishwe padri akiwa na tamaa zake hatuwezi kuvunja sheria za kanisa maana hakulazimishwa kuwa padri na alijua sheria za kuwa padri mapema tuu
Last edited by a moderator: