Padri Katika Njama za Kumuua Mpenzi wake...

mapadri ni wazinzi sana.... unadhani kwanini papa kajiuzulu..? kwa kashafa kama hizi... watoto wa shule wakae mbali na hawa watu
 
Padri ni binadamu kama wewe au binadamu kama wengine wenye mwili wa nyama. Kama ameshindwa kutimiza wito wake basi hilo ni suala la mtu binafsi. Padri anaingia ktk utawa/useja kwa ajili ya kumtumikia Mwenyezi kwa utashi wake mwenyewe wala hashurutishwi. Suala la kula na kunywa pamoja na uwezo wa fedha siyo issue. Wewe binafsi kwa nafasi yako umetimiza mangapi na umeshindwa mangapi ukiwa kama binadamu wa kawaida?
 
aisee padri NO kuoa, sista NO kuolewa sawa? halafu wanaekwa pamoja kwenye covenanat sijui, yule hana mke na huyu hana mume, mazingira kama haya uzinzi ni mathematical certainity kutokea, kibaya zaidi wanawaharibu na watoto wadogo sasa, bora waishiane wao kwa wao padri + sister = ?
 

mimi nina mfano hai...kuna wifi yangu alikua sister kama miaka 7 hivi..juzi kati amerudi anadai wamefukuza coz anaumwa umwa saana...akapokelewa kwao kwa mikono miwili...heee mara tunaona tumbo linavimba mazee...haa anaulizwa anajiuma uma...but mwisho anaka mwanaume kujitambulisha kua anachukua mzigo jumla...na akaposa ...mahari tumeshakula...tunasubiri azae tumwage radhi...harusi hiyooooo....dah sister huyo...bora mimba haikua ya padri
 

bora mtu akitaka kuwa padri ahasiwe bwana
 
Kanisa katoliki ruhusuni mapadre wenu waoe.. Mnazidi kujiletea aibu za kubaka, kulawiti, na kuzaa watoto haramu kila kona!! Hivi kweli padre anakula balanced diet na bia ju uhalafu eti unimbie ataishi kama toashi? Msijidanganye!! Simaanishi kuwa hata kwa wakristu wanaoruhusu wachungaji wao kuoa kuwa hawazini ila kwa katoliki mnaongoza kwa kuwa wake hamna. Papa Francis najua ni traditional catholics na ni wa enzi zile waliamini utoashi but hawa mapared vijana ni hatari tupu siku hizi.
 
Hiyo point ya kuhasiwa kwa mapadri nimeipenda.Hapo ndo mapadri wanafki watafahamika kwani wengi wataacha upadri
 
Kuwa padre hakumuondolei mtu uanaume wake!
 
kweli itolewe sheria ya kuhasiwa tuone watakao baki kuwa mapadiri wa ukweel
 
usiwe mwepesi wa kuhukumu ati!..hawa mapadri ni janga!! unajua maana ya janga wewe? padri ni binadam kama wewe, so anaweza kuangukia dhambini.
 
Dhambi zote zitabaki kuwa dhambi tu. Huyu padri aliyezini na mtu mwingine aliyeiba wote wametenda dhambi, na inabidi watubu dhambi zao. Kwa hiyo isionekane ajabu sana kwa padri kuwa mzinzi, wakati ndani ya nyumba yako isitoshe familia yote ni wazinzi! Padri akizini anatubu na maisha yanaendelea, na kutubu ni pamoja na kujutia kosa na kuliacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…