Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Padri ni binadamu kama wewe au binadamu kama wengine wenye mwili wa nyama. Kama ameshindwa kutimiza wito wake basi hilo ni suala la mtu binafsi. Padri anaingia ktk utawa/useja kwa ajili ya kumtumikia Mwenyezi kwa utashi wake mwenyewe wala hashurutishwi. Suala la kula na kunywa pamoja na uwezo wa fedha siyo issue. Wewe binafsi kwa nafasi yako umetimiza mangapi na umeshindwa mangapi ukiwa kama binadamu wa kawaida?Hawa mapadri aisee ni bora waruhusiwe tu kuoa, haya mafundisho mengine bwana, yaani binaadamu yuko kamili, anakula anakunywa ana uwezo kifedha, halafu unamwabia asioe, kinyume kabisa na maumbile yetu wanaadamu. tutake tusitake tendo la ndoa ni muhimu mno kama kula au kunywa. kama uko mzima lazima ulitimize. sasa kueka sheria ya kulizuia matokeo yake ndo haya.
anayeamini kuwa 'useja' wa kweli upo, akapimwe akili!
aisee padri no kuoa, sista no kuolewa sawa? Halafu wanaekwa pamoja kwenye covenanat sijui, yule hana mke na huyu hana mume, mazingira kama haya uzinzi ni mathematical certainity kutokea, kibaya zaidi wanawaharibu na watoto wadogo sasa, bora waishiane wao kwa wao padri + sister = ?
Bi Celestina Ananius(35) amenusurika Kuuawa na Padri ambaye kwa Sasa anaishi kwenye Makazi ya Katoliki Mbezi kwa ajiri ya Masomo.Dada huyo anasema amekuwa katika ngono na padri huyo tangia akiwa Fratel,akawa Shemasi na sasa ni padri nasuala hilo ni siri yao na wazazi wa pande mbili hadi wamezaa mtoto anaitwa Agnes(3).
Bi Celestina ambaye anaishi Dodoma alikuja Dar kumufuata Mpenzi wake huyo na kama kawada baada ya kupata huduma walikuwa na safari ya kwenda kibaha ambapo walitofautiana katika mambo yao , na Padri alikasirika na kumukanyaga na gari ya Jimbo la Katoliki kabla ya Kumushambulia kwa Panga.
Taarifa za Polisi Mkoa wa Pwani zinaonyesha kuwa Mwanamke huyo aliokolewa na Wasamalia wema na kukimbizwa Hospitali ya Tumbi Kibaha kwa matibabu!!!.Hadi sasa Padri hajakamatwa !!!!!!!!!
Hii ni Kali kuliko ya Nabii na Mtume Mwingira pale Karibu Hotel
source: Police Kibaha