Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Ndio mwenyewe mmoja wao.Wewe lazima ni sehemu ya squad ya majambazi wa Samia The Killer. You’re the most unreasonable man I have ever interacted with!
Ndio mwenyewe mmoja wao.Wewe lazima ni sehemu ya squad ya majambazi wa Samia The Killer. You’re the most unreasonable man I have ever interacted with!
Nchi yetu ina watu!mtu anapigwe kwenye pombe na walevi wenzie anasingizia kutekwa, huo si ulofa gentleman?🐒
Ni kama nilisikia alikuwa kwenye mkutano wa yale majizi DodomaNaomba father asisahu kumwuliza kama yule mshukiwa kama bado yuko ndani.
Imeandikwa,Nchi yetu ina watu!

Hivi nyie mmelishwa unga wa ndele???atubu uzinzi alofanya na wake za waamini wake, na aache hiyo tabia chafu 🐒
THIS HAS RUINED THE EAC RELATIONSHIP TOTALYSikilizeni hii,ili.mjifunze tulikofikia
😃😃Kwa hiyo una support wenzake kubakwa na kulawitiwa
Ova
Mungu hatakaa kimya, atajibu sala zetu. Tuwe imara katika kazi zetu, tukumbuke kuwa hata mitume walipata misukosuko. Tusirudi nyuma, tubaki katika imani thabiti” ✌🏿🔨📌🔨Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza baada ya kutoka hospitali alikokuwa anapatiwa matibabu kwa takribani mwezi mmoja baada ya tukio la shambulizi dhidi yake.
Padri Kitima ameongoza adhimisho hilo katika Kanisa la Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili lililopo TEC-Kurasini, Dar es salaam leo Juni 3, 2025 pamoja na mapadri, watawa na wafanyakazi wengine wa Sekretarieti ya TEC, kwa nia ya kumshukuru Mungu kwa kumponya.
Akitoa homilia katika adhimisho hilo Padri Kitima amemshukuru Mungu kwa kumponya dhidi ya shambulizi lililolenga kukatisha uhai wake, huku pia akiwashukuru watu wote kwa sala na matashi mema katika kipindi chote cha matibabu yake.
“Tunamshukuru Mungu kwa wema wake, pia tunawashukuru watu wote walioguswa na tukio lile. Tuombe ili Kanisa lizidi kuwa imara siku zote bila kutetereka. Tukumbuke kuwa Kanisa Katoliki ni taasisi inayotegemewa na watu wengi, ni sauti ya watu wasio na sauti, ni msindikizaji wa wanyonge. Tuliombee Kanisa letu lizidi kuwa mwanga na matumaini ya Watanzania” ameeleza Padri Kitima.
Aidha Padri Kitima amewataka wana Sekreatarieti ya TEC kuyapokea mambo yote yaliyotokea kwa jicho na moyo wa imani akisisitiza kuwa katika mambo yote ambayo Kanisa linayasimamia kwa ajili ya wanyonge, Mungu atayasikiliza.
“Mungu hatakaa kimya, atajibu sala zetu. Tuwe imara katika kazi zetu, tukumbuke kuwa hata mitume walipata misukosuko. Tusirudi nyuma, tubaki katika imani thabiti” ameongeza.
View attachment 3354311View attachment 3354314
😅😅 imemkaa vizuri sana huyu TlaatlaahUtofauti wa ubongo wako na mavi ni joto
Haibadili Hoja za Mtu....hata ww ni mzinziatubu uzinzi alofanya na wake za waamini wake, na aache hiyo tabia chafu 🐒
😂😁🤣😂😁😄🤣😂😁😄Sasa Wewe Kila Askofu Ni Mzinzi Tuatubu uzinzi alofanya na wake za waamini wake, na aache hiyo tabia chafu 🐒
In fact,😂😁🤣😂😁😄🤣😂😁😄Sasa Wewe Kila Askofu Ni Mzinzi Tu
Haa Acha Hizo Ya CCMIn fact,
huyo, gwajima na Kalikawe ni mafuska waliokubuhu madhahuni 🐒
ukweli usemwe gentleman,Haa Acha Hizo Ya CCM
Inakufa Hadharani
Hivi Kwa nini huo mna waquote hawa watu? Hamuoni kuwa mnawapa airtime ya kuendelea kueneza ujinga wao wa kumtetea uovu?Hii ni habari njema ya wokovu:
“Mungu hatakaa kimya, atajibu sala zetu. Tuwe imara katika kazi zetu, tukumbuke kuwa hata mitume walipata misukosuko. Tusirudi nyuma, tubaki katika imani thabiti”
Muda wa kuunganisha nguvu na askofu Gwajima.
Mungu yupo upande wetu.
Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, imhotep na wale wengine:
"Mwendo mdundo hadi wawacheuwe akina Mdude na wenzao wakiwa hai!"
Hamna kitu huyu.Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameongoza Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa mara ya kwanza baada ya kutoka hospitali alikokuwa anapatiwa matibabu kwa takribani mwezi mmoja baada ya tukio la shambulizi dhidi yake.