Mama kasema kuna vijana wazalendo toka upinzani waliokuwa wanawapelekea wanayopanga upande wa pili. Je mzee huyu ndio alikuwa master mind wa mikakati ya kihalifu ya CHADEMA? Ukizingatia mzee alikuwa mjeshi? Je vikao hivyo vina uhusiano na yaliyotokea OCT 29? Je kijana huyo mzalendo ni nani? Au ni yule mpeperusha bendera wa .....?