Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

Hawa jamaa waruhusiwe kuoa, wanaishi kwa upweke sana
mtaani tunanyang'anyana PISI na hawa jamaa, wala si wapweke, wana maisha ya mtaani kama waulimwengu wengine, na wanakula bata kuliko waumini wao, wanawatafuna sana wanakondoo
 
Nachofurahi hata wewe chawa uko hapa kuchangia uzi na kudumisha jina la mzee ali kibao, kimwili amefariki ila legacy yake inaishi midomoni mwa watu, haya tuendelee kuchangia mada kuuweka uzi hai
Nyumbu wagumu kuelewa aisee.
Hakuna asiyemhurumia Mzee Kibao (labda hao waliomteka). Tunachohoji wengine ni hii Hali yenu nyie ya kumshutumu mtu flani bila ushahidi......tunajua huyo mtu hamumpendi, haiwezi kuwa mnazusha tu Ili mradi mumharibie?!!
Hatujui huyo Mzee kibao alikuwa ni nani huko chadema na hata maisha yake ndani ya Chama hicho hatuna taarifa nazo.....mkiulizwa mnakasirika. Dr Slaa amewahi kusema kuwa huko chadema Kuna kakikundi ka-utekaji.....Dr Slaa anaijua chadema kuliko nyumbu wewe usiye na hili Wala lile.
Historia ya watu kuuawa/kuumizwa huko chadema ipo, mifano hata wewe unayo....chacha wangwe, kibanda n.k. Mbona hamtaki kujishughulisha na hilo?!!! Akihoji mtu hapo mnakimbilia kutukana.

Nyumbu wewe Bado sana!!!!
 
Good job, endelea kuwa hapa, tunakuhitaji sana mada kuiweka hai
 
Ulinzi unaanzia kwako , kukemea hadharan mamb ya utekaj , ila ukimwacha mmoja hata alindwe ma askar wa ikulu badp hatokuwa salama

Huyo father anapigania usalama wako japo ni ngumu kuelewa

Tutulie hv hv , huko mbele utaelewa , maana ss hv had wenyevit , watendaj wanapoteza watu

Hii tabia inahalalishwa mdogo mdogo na ukimya wetu , na kuhisi wa kuongea ni mtu fulan lkn sio ww au yule
Mimi sija support kinachofanywa na serikali, niluchouliza ni je, kapata au kaimarisha ulinzi wake au anaendelea tu bila kujali usalama wake.

Mdude aliendelea kuongea baada ya kurudi kutoka matesoni na wakamfuata na sasa hatujui alipo.
 
Na kwa Tanzania hii hakuna kanisa lililowahi kufanikiwa kuleta vurugu za kidini......na halitafanikiwa kwani Mungu yupo hai muda wote na anazijua vema hila zetu tulizonazo myoyoni na ana uwezo wa kuziyeyushia mbali.

Wanatafuta Shari kwa nguvu kweli lakini hawatofanukiwa.
Hamna kanisa linalotaka ,lililotaka kuleta vurugu, From JK.Nyerere mpaka leo
Hakuna kanisa lenye ukaribu na serikal kama Catholic, halipo
 
HAYA FUNGIENI KANISA LA ROMA SASA KAMA KWELI NYIE VIDUME .. GWAJIMA KAKEMEA UTEKAJI MMEFUNGIA FUNGIENI NA ROMA KUCHANGAMKE VIZURI. NIKO PALEEE
 
Nyumbu wagumu kuelewa aisee.
Hakuna asiyemhurumia Mzee Kibao (labda hao waliomteka). Tunachohoji wengine ni hii Hali yenu nyie ya kumshutumu mtu flani bila ushahidi......tunajua huyo mtu hamumpendi, haiwezi kuwa mnazusha tu Ili mradi mumharibie?!!
Hatujui huyo Mzee kibao alikuwa ni nani huko chadema na hata maisha yake ndani ya Chama hicho hatuna taarifa nazo.....mkiulizwa mnakasirika. Dr Slaa amewahi kusema kuwa huko chadema Kuna kakikundi ka-utekaji.....Dr Slaa anaijua chadema kuliko nyumbu wewe usiye na hili Wala lile.
Historia ya watu kuuawa/kuumizwa huko chadema ipo, mifano hata wewe unayo....chacha wangwe, kibanda n.k. Mbona hamtaki kujishughulisha na hilo?!!! Akihoji mtu hapo mnakimbilia kutukana.

Nyumbu wewe Bado sana!!!!
Dr Slaa, anasema CDM wanatekana na kupotezana wenyewe@Red Brigade

View: https://youtu.be/WHnxlsWXiY0
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema;

"Unaposema tusitetee Uhai wa Mtu, Mdude haonekani mpaka sasa hivi, alikuwa anachambua mambo ya Siasa ya Nchi wengine hawafurahi, sasa unaposema tusimtetee wakati sisi Kazi yetu ni kutetea Uhai wa Mtu, unatuambia tuache Dini, na Kazi yetu ni Kufundisha, Linda Uhai wa Mtu, kama amaekosea tulisha weka utaratibu, Kuna Polisi, kuna Mahakama, kuna Magereza, fuata hivyo?. Kwanini asionekane?."

"Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, mimi natoa mfano huu mpaka Siku ya mwisho. Soka ameitwa kwenye Kituo cha Polisi haonekani mpaka leo. Sasa unasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!”

"Sasa kukemea Uovu ni kuingilia mambo ya Watu, tunawaambia wale wanaoyafanya wayaache na tutaendelea kuwaambia, na hatutaacha. Vinginevyo Kazi ya Mungu na Mwanadamu aliyeumbwa na Mungu asipomsikiliza Mungu yeye Mwenyewe atajifanya kuwa Mungu! Na sisi tunamtetea Mungu abaki kuwa Mungu na Mwanadamu abaki kuwa Mtumishi wa Mungu. Ndiyo Kazi ya kila Mtu, kila Mwanadamu anaitwa Mtumishi wa Mungu, kwahi kama unataka Uongozi linda UTU wa Mtu, fanya Watu wafurahie USITAWI wa shughuli zote, wafanye Watu WAJITAWALE, wafanye Watu WASHIKAMANE, leta UPENDO."

"Lakini tuna TUNU ambazo sisi Wakatoliki tunajivunia katika masuala ya SIASA! Ni kusimamia UKWELI ulivyo, hatuangalii umesemwa na nani?......."

Soma, Pia
Mi napendekeza Mapadre waanze kupewa posho la sivyo tutaona mengi sana. Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom