Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Hawajaanza Leo, hawatamaliza kesho.......Samia atalindwa na Mungu na si hawa binadamu waliojaa chuki na hila
Kabla hauja komenti tafakari kwanza alicho sema mtu kama kinamanufaa kwa Taifa au laaa! pia tambua chochote utakacho komenti wakati wa kiama utajibu mbele za Mungu,ukijua hivyo utachagua cha kukomenti.mwisho jaribu kuwaza kama Mzee ally kidao na wengine wote waliotekwa angekuwa baba Yako ungefurahi?ok Mungu aliyeumba mbingu na ardhi akubaruki.Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Na kwa Tanzania hii hakuna kanisa lililowahi kufanikiwa kuleta vurugu za kidini......na halitafanikiwa kwani Mungu yupo hai muda wote na anazijua vema hila zetu tulizonazo myoyoni na ana uwezo wa kuziyeyushia mbali.Hakuna aliyewahi kulishinda Kanisa
Mkuu uko mbali sana, hujamuelewa kabisa huyo Kitimacna genge lake. Kibao ametajwa kukutega wewe hapo na kukunasa....ukweli ni kwamba hata hamfikirii huyo kibao na hilo hata sio lengo lake kuuKabla hauja komenti tafakari kwanza alicho sema mtu kama kinamanufaa kwa Taifa au laaa! pia tambua chochote utakacho komenti wakati wa kiama utajibu mbele za Mungu,ukijua hivyo utachagua cha kukomenti.mwisho jaribu kuwaza kama Mzee ally kidao na wengine wote waliotekwa angekuwa baba Yako ungefurahi?ok Mungu aliyeumba mbingu na ardhi akubaruki.
😂 Huoni hata wewe kajamba nani ambaye hakuna anaekujua umepaniki? Jiulize kama chawa umekasirika hivi kwa majibu haya je hao wakubwa zako huko Wana Hali gani?Tokea aanze kubwabwaja kimebadilika nini?zaidi ya makemeo hapahapa jf yakiongozwa na mke wa lisu @Erithrocite
Ni mali ya wavaa kobazLioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya
mpigaji mmoja anajua akiinua mdomo anatimuliwa pale TPHivi yule mwenye hema Kawe amewahi kukemea utekaji?
Utajuaje? kama Mimi ndo mkubwa mwenyewe..!😂 Huoni hata wewe kajamba nani ambaye hakuna anaekujua umepaniki? Jiulize kama chawa umekasirika hivi kwa majibu haya je hao wakubwa zako huko Wana Hali gani?
Hakuna cha Mungu ni uongo tu.Kabla hauja komenti tafakari kwanza alicho sema mtu kama kinamanufaa kwa Taifa au laaa! pia tambua chochote utakacho komenti wakati wa kiama utajibu mbele za Mungu,ukijua hivyo utachagua cha kukomenti.mwisho jaribu kuwaza kama Mzee ally kidao na wengine wote waliotekwa angekuwa baba Yako ungefurahi?ok Mungu aliyeumba mbingu na ardhi akubaruki.
We upo kwenye kichwa chake?. Awe na genge asiwe na genge, aliyoyaongea ni uongo?Mkuu uko mbali sana, hujamuelewa kabisa huyo Kitimacna genge lake. Kibao ametajwa kukutega wewe hapo na kukunasa....ukweli ni kwamba hata hamfikirii huyo kibao na hilo hata sio lengo lake kuu
Upigwe , Ujeruhiwe, Ulazwe na bado uulizwe Cctv camera ziko wapi !!hahjamuuliza swali cctv ziko wapi?
Hakuna aliyewahi kulishinda Kanisa
Na yeye atakuja tu soon, upe muda muda wakeWhat a comeback sio ya gwajiboy anajificha kwenye.matete haonekani
Na kwa Tanzania hii hakuna kanisa lililowahi kufanikiwa kuleta vurugu za kidini......na halitafanikiwa kwani Mungu yupo hai muda wote na anazijua vema hila zetu tulizonazo myoyoni na ana uwezo wa kuziyeyushia mbali.
Wanatafuta Shari kwa nguvu kweli lakini hawatofanukiwa.
Wewe uliyemwelewa kifo cha Mzee Kibao ulikichukuliaje? Fikiria kama anagekuwa ni mzazi wako? Watendeeni wengine vile mnavyotaka kutendewa nyie.Mkuu uko mbali sana, hujamuelewa kabisa huyo Kitimacna genge lake. Kibao ametajwa kukutega wewe hapo na kukunasa....ukweli ni kwamba hata hamfikirii huyo kibao na hilo hata sio lengo lake kuu
Haki Ina wajibu,nimekuwa nikifuatilia na kujiuliza kwann haya yatokee,lawama zielekezwe kwa serikali lkn nikapata majibu tofauti tofauti ambapo Kila mmoja wapo anapaswa kuyatafakariKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima
PumbaHaki Ina wajibu,nimekuwa nikifuatilia na kujiuliza kwann haya yatokee,lawama zielekezwe kwa serikali lkn nikapata majibu tofauti tofauti ambapo Kila mmoja wapo anapaswa kuyatafakari
Mosi,serikali inalaumiwa ndio inayolengwa ktk shutuma na kudhaniwa ndio inayoteka lkn pengine haihusiki na inashutumiwa tu sabu Ina wajibu wa kulinda wananchi, ila wajibu wa wakosoaji ni kuchukua tahadhari kwa wayasemayo ya self defense sabu maneno wanayotamka yanagusa pengine mtu mmoja mmoja na pengine mtu huyo anayapuuza lkn nyuma ya mtu huyo kuna akina mzee Kilomoni wanaomtegemea na kuona Simba amedharirishwa na Yanga ndio yanaibuka mambo ya usimba na uyanga nje ya club zenyewe na visa vinaanza
Pili,werevu wa watu hao,unaweza Kuta Wana migogoro binafsi na jamii zinazowazunguka mfano sheikh wa kule kwenye timu ya Singida fountain gate,yeye alikimbia madeni lawama zikatupiwa serikali,visa vya Habiba na yule diwani zikazuka tuhuma mara ibhololo ibhololo mara kawekwa kizuizini Cha mahaba niue mahaba nigaragaze
Tatu,uhasama wa maslahi binafsi hili nakumbushia yasemwayo kuhusu Chacha Wangwe hata kuibuka kwa G55 sabu ya udikteta wa mtu mmoja
Nne,Kuleta taharuki katika jamii na kuvuruga amani,mfano matamshi ya uvunjifu wa amani kunaweza Jenga chuki dhidi ya wazalendo wapenda amani MZALENDO mmoja akaamua kuondoa chanzo cha uvunjifu wa amani kwa kuona sasa itakuwaje Nina watoto na rasilimali zangu kibao na huyu mtu mmoja analeta chokochoko itakuwaje- yaani unajitengenezea maadui usiowajua kwa kauli zako za kifedhuli kwa maslahi finyu binafsi dhidi ya wengi
Tano,maneno Yako yanaweza chukuliwa kama fursa kwa maadui zako wa nyuma wakaamua kuchukulia fursa kwa adui wako wa sasa unaepambana naye wakajificha nyuma ya adui wako wakarusha jiwe kwa manati ukajua adui wako wa sasa ndie amekupiga manati
Sita,wengi huko CDM wanalalam8kiwa kuvunja ndoa za watu,vyeo wanapeana kwa nongo hivo kujitengenezea uadui na waume za watu mbona ACT,CHAUMA ni nadra haya kuyasikia japo la Abdul Nondo lilivuma lkn kumbe alijiteka
Mawazo yangu tu,nipo Nairobi kuona kama Kuna chama Cha upinzani kitakuja kuunga mkono haya maandamano
Kabla hauja komenti tafakari kwanza alicho sema mtu kama kinamanufaa kwa Taifa au laaa! pia tambua chochote utakacho komenti wakati wa kiama utajibu mbele za Mungu,ukijua hivyo utachagua cha kukomenti.mwisho jaribu kuwaza kama Mzee ally kidao na wengine wote waliotekwa angekuwa baba Yako ungefurahi?ok Mungu aliyeumba mbingu na ardhi akubarukiHuyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu