Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Huo ndo ujinga wetu, Kila anapokuwa kiongozi mwislamu ni shida akikosolewa tu, hamlali VP magufuli aliyeandikiwa waraka karibu dini zote katholiki, KKT, ANGLIKAN na Shula ya maimam mambo yalikuaje, Kuna Wakristo walilalamika
 
Haki Ina wajibu,nimekuwa nikifuatilia na kujiuliza kwann haya yatokee,lawama zielekezwe kwa serikali lkn nikapata majibu tofauti tofauti ambapo Kila mmoja wapo anapaswa kuyatafakari

Mosi,serikali inalaumiwa ndio inayolengwa ktk shutuma na kudhaniwa ndio inayoteka lkn pengine haihusiki na inashutumiwa tu sabu Ina wajibu wa kulinda wananchi, ila wajibu wa wakosoaji ni kuchukua tahadhari kwa wayasemayo ya self defense sabu maneno wanayotamka yanagusa pengine mtu mmoja mmoja na pengine mtu huyo anayapuuza lkn nyuma ya mtu huyo kuna akina mzee Kilomoni wanaomtegemea na kuona Simba amedharirishwa na Yanga ndio yanaibuka mambo ya usimba na uyanga nje ya club zenyewe na visa vinaanza

Pili,werevu wa watu hao,unaweza Kuta Wana migogoro binafsi na jamii zinazowazunguka mfano sheikh wa kule kwenye timu ya Singida fountain gate,yeye alikimbia madeni lawama zikatupiwa serikali,visa vya Habiba na yule diwani zikazuka tuhuma mara ibhololo ibhololo mara kawekwa kizuizini Cha mahaba niue mahaba nigaragaze

Tatu,uhasama wa maslahi binafsi hili nakumbushia yasemwayo kuhusu Chacha Wangwe hata kuibuka kwa G55 sabu ya udikteta wa mtu mmoja

Nne,Kuleta taharuki katika jamii na kuvuruga amani,mfano matamshi ya uvunjifu wa amani kunaweza Jenga chuki dhidi ya wazalendo wapenda amani MZALENDO mmoja akaamua kuondoa chanzo cha uvunjifu wa amani kwa kuona sasa itakuwaje Nina watoto na rasilimali zangu kibao na huyu mtu mmoja analeta chokochoko itakuwaje- yaani unajitengenezea maadui usiowajua kwa kauli zako za kifedhuli kwa maslahi finyu binafsi dhidi ya wengi

Tano,maneno Yako yanaweza chukuliwa kama fursa kwa maadui zako wa nyuma wakaamua kuchukulia fursa kwa adui wako wa sasa unaepambana naye wakajificha nyuma ya adui wako wakarusha jiwe kwa manati ukajua adui wako wa sasa ndie amekupiga manati

Sita,wengi huko CDM wanalalam8kiwa kuvunja ndoa za watu,vyeo wanapeana kwa nongo hivo kujitengenezea uadui na waume za watu mbona ACT,CHAUMA ni nadra haya kuyasikia japo la Abdul Nondo lilivuma lkn kumbe alijiteka

Saba,nimeshuhudia chaguzi za vyama vingi tangu 1995,matukio haya hutokea lengo ni kuiletea taharuki jamii kuonesha kwamba serikali haiwalindi ipaswavyo wananchi wake,matukio kama mauaji ya albino,wanyonya damu,wachuna ngozi,sasa utekaji ni baadhi ya matukio yanayotumiwa na vyama hasimu dhidi ya vyama tawala kwa lengo la kukishushia hadhi chama tawala kwa wananchi tumeona chibuku wale watoto wa shule huko Nigeria,M23 Congo n.k ila wachochezi wakijaribu kudhibitiwa hukimbilia organs za kimataifa kutafuta huruma na msaada wakisahau wajibu wao ni kudumisha amani

Mawazo yangu tu,nipo Nairobi kuona kama Kuna chama Cha upinzani kitakuja kuunga mkono haya maandamano
Anza upya. Hiki ulichoandika Hapa ni ujinga mkubwa
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu

😂😂😂😂😂😂
 
Kabla hauja komenti tafakari kwanza alicho sema mtu kama kinamanufaa kwa Taifa au laaa! pia tambua chochote utakacho komenti wakati wa kiama utajibu mbele za Mungu,ukijua hivyo utachagua cha kukomenti.mwisho jaribu kuwaza kama Mzee ally kidao na wengine wote waliotekwa angekuwa baba Yako ungefurahi?ok Mungu aliyeumba mbingu na ardhi akubaruki.
Mkuu uko mbali sana, hujamuelewa kabisa huyo Kitimacna genge lake. Kibao ametajwa kukutega wewe hapo na kukunasa....ukweli ni kwamba hata hamfikirii huyo kibao na hilo hata sio lengo lake kuu
 
Embu mwambie mwenzio muende kwanza shule mjifunze kusoma na kuandika kisha mkasafishwe hivyo vinyeo vyenu kwanza mtutolee laana kwenye hii nchi.
Lazima utakuwa inaliwa tako si bure
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu

Wewe utakuwa ni mwehu! Yaani ukawashtaki kwa polisi wauaji waliotumwa na mwenye mamlaka!! Una akili wewe kweli!! Hopeless
 
Lioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya

Wewe mwendawazimu kmuuaji , kwa sababu umekwishaua watu makumi, na bado unadunda mtaani, usiamini ni mshindi wa dama. Kinachoshinda daima ni haki, siyo uovu. Siku zaja utayakumbuka maneno haya, itakuwa too late.
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima

Muelewe kwanini Catholic Church ni Big Institutional. MTAMBUE recruitement ya Catholic sio ya Form 4 failures. Those people are taking the best student .Sio kama mtu Lucas au tlatlah ambao kichwani mwao wamejaza matakataka na mikojo.

Nchi imekuwa ya Kipumbavu watu wanasifu sifu huku wengine wanakufa na kuumia: mtu akiongea ukweli mnakuja na defensive mechanism ya Ooh sijui udini na uislam….uislam
Au ukiristu umeikuta TANZANIA.Tanganyokq was there before Islam and Christianity .mambo yenu ya uislam
Na ukiristu peleken kwa mabwana zenu….. tunataka Tanzania yenye aman ya kweli.

Catholic Church ni the best and was made to lead . I can guarantee RC ndio church ya pure lord
Hayo mengine na hao wengine wanaosema watu wakatwe vichwa is another work of devil

Hakika mtoto wako anasoma kwenye misingi ya kikatolic , hawezi kuwa mjinga kama Lucas .Ni bora Usizae kuliko kupata mtoto kama Lucas
 
Back
Top Bottom