Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Kukemea utekaji ni kumsumbua rais ? Je kweny uislam wanaruhusu uonevu na utekaji ?
Inabid ifike muache ubinafs , watu wakichoka kuongea wataanza kujibu kwa silaha
Kule Afrika ya kati waislam walianza hv hv , walikuwa wanaaswa kwa mdomo hawakuelewa baadae walianza iomba dunia iwasaidie
Aman haitunz kwa kuua watu nje ya misingi ya katiba yetu , na huez pata amani kwa kuwataka watu wakae kimya wakimwacha mtu mmoja anajiona mungu mtu kutoa uhai wa wengine pasipo makosa
Tukienda hv bas tutafungua ukurasa mpya na taifa halitawai rudi kweny shape hii ya sasa kwa vizaz vingi huko mbele
Liberia walipompuuzia Samuel Doe , wale walionewa na kuuliwa (Prince Johnson na Charles Taylor ) walienda jipanga na kurudi kuivuruga Liberia na waLiberia walikuja teseka kwa miaka zaid ya 15 mbele
Pia waSomali walipimkalia kimya Siad Barre kiliwakuta cha Liberia
Pia Sierra Leona walipomwacha Momoh aue raia wema , wale raia wema walienda Liberia kujipanga nakurudi kuvuruga amani ya nchi
AMANI YA NCHI NI MUHIMU KULIKO HUYO BIBI YAKO
HUYO BIBI ATAPITA ILA UCHAFU WAKE UNAEZA LICOST TAIFA KWA VIZAZ MPK VITANO YAAN WW NA VIKUTUU
LEO HII , CAR , LIBERIA , SIERA LEONE , SOMALIA , DRC SUDAN ETC WANASUMBULIWA NA MAKOVU YA VIONGOZ WABOVU KAMA HUYU MBIBI ASIEJALI UHAI