Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu


Anajoka ya msingi, asikilizwe, msilete mambo ya dini na ukabila, hata magufuri walimpiga spana hivi hivi.

Kiukweli asikilizwe, tunahitaji Amani siyo woga.
 
Lioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya
Kwan nan mwenye nchi ? Babu zako walipewa pipi wakauza uhuru wao na ww unajiuza mdogo mdogo kwa malipo ya bando

Ni aibu leo hii chama kilichotupa uhuru kinamkingia kifua kiongoz fisad , muuaji na asieshaurika

Kodi zetu zinatumika kuwalipa wajinga kama ww kuja kutetea wauaji

Mnachokitafuta mtakipata , watu wanalia kuonewa nyiny hamuwasikiliz mnasema wasiongee sabab wao sio wenye nchi

Leo hii Tanzania kuna watu hawapasw kutoa maoni kisa wao ni mapadri ila kuna watu wanasema watapoteza watu ila bado wapo mtaani

Tz haina mingi sana , kuna bomu litalipuka , muda huu wa kutegua mabomu sisi tupo busy kusema tupo salama chin ya Jemedari ,Doctor Bi Ushungi

NB: Tukiwa tunaitwa nyan tusiwe tunanuna maana tunakumbatia viongoz wasiotatua matatizo badala yake wanakuza matatzo na wajinga ndo mnakuwa guard yao
 
"Give to Caesar what is Caesar's, and to God what is God's" kazi ya injili imemshinda, RC ni kanisa lilioumiza sana watu duniani, he should talk about that and ask forgiveness
Kuna din haijaumiza mtu dunian ?

Je analizungumzia Kanisa au anazungumza kama mtanzania ?

Je anachozungumza ni uongo ?

Je tuache watu waluliwe mpk yakukute ndo tuanze kukemea ?

Je unajua hatima ya kuwaacha watu waongoze nchi kama wanaongoza familia zao ??( bila kufuata katiba )

Je kipi kina kupa uhakupa uhakika kuwa upo salama kwenye utawala huu usiofuata sheria za nchi ?

Mtu ulitawaliwa na wageni sababu ya ujinga wako na unaukumbatia ujinga yaana babu zako wàlituingiza shimon tukafanikiwa kutoka leo hii ww unaturudisha shimon tena

Ifike muda mutumie akili kushabikia vitu , ushabiki mwingi mtakuja ku kukiwa kumeharibika

Wanayoyafanya wakenya ni kulinda amani ya nchi , kila mkenya anajihisi yupo salama nchin kwake

Ila hapa Tz kuna watu wanaishi kwa mateso na nyiny hamtak hata kukemea wale watesi na wakikemewa mnawakumbutia
 
Hana lolote huyo. Huku RC hatuna mpango naye huyo Padre Kitima tulishamjua mapema tu.
Hanna mpango naye wakati huo bado mmemteua kuwa katibu wa baraza la maaskofu Tanzania!
Maajabu hayataisha dunia hii.
 
Hawajaanza Leo, hawatamaliza kesho.......Samia atalindwa na Mungu na si hawa binadamu waliojaa chuki na hila
Mungu yupi anasema uteke , ufire na ubambikize kesi ? Kuna watu ni wajinga , umepata kaz ya unesi sabab hakuna nesi na sio sabab ni kaz ya Samia
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Endeleeni tu kujidanganya. Mwakilishi wa jumuiya ya ulaya wa mambo ya nje na usalama (EU Representative for foreign affairs and security policy) Constantine kombos tayari ameshatua. Abdalah possi aliwekwa kikaangoni huko UN kwa mambo hayahaya anayosema father kitima.
 
Huo ndo ujinga wetu, Kila anapokuwa kiongozi mwislamu ni shida akikosolewa tu, hamlali VP magufuli aliyeandikiwa waraka karibu dini zote katholiki, KKT, ANGLIKAN na Shula ya maimam mambo yalikuaje, Kuna Wakristo walilalamika
Ukiwa jambaz jiunge kweny uislam , unakuw na kinga automatically
Hawa wenzetu ni wajinga sn , wao udini mbele muda wote
 
Kapata Ulinzi?

Maana hawa watekaji wanaweza kumrudia, tena wale wale kama walivyofanya kwa Mdude.
Ulinzi unaanzia kwako , kukemea hadharan mamb ya utekaj , ila ukimwacha mmoja hata alindwe ma askar wa ikulu badp hatokuwa salama

Huyo father anapigania usalama wako japo ni ngumu kuelewa

Tutulie hv hv , huko mbele utaelewa , maana ss hv had wenyevit , watendaj wanapoteza watu

Hii tabia inahalalishwa mdogo mdogo na ukimya wetu , na kuhisi wa kuongea ni mtu fulan lkn sio ww au yule
 
Lioneni hili zombie, nchi hii siyo mali ya kanisa katoliki hao mambwa wataishiaa kubweka tu hakuna wanaloweza kufanya
Funga mdomo huo, kubishana na Kanisa ni kuziweka kura 25 milioni rehani; kama mna mpango wa kuimport wasafwa na wanyaruanda kuja kujaza masanduku ya kura semeni
 
Usihamishe magoli, alitekwa na nani? Ni Samia kama mnavyolazimisha ionekane?!!!
Wap Father kamtaj Samia ? kwann Samia aangaike na wanaokemea utekaji ?

wa siku hz utekaji unaruhusiwa ? maana serikali inakalia kimya utekaji ila inaangaika na wanaokemea utekaji kama Gwajima

Kumbuka hata ww haupo salama , ni swala la muda akil zako zitakukaa sw
Badoo hujui unahitaj kiongoz wa namna gan,haya yanayotokea Tz si màgen hapa dunian , tumeyaona Syria , Drc , Liberia ,Sudan , Somalia etc , ila muda utakufunza vzr , ngoja nikae kimya narudisha mic
 
Wanataka kusifiwa tu hawataki kukosolewa, ukijaribu kuwakosoa wanakuua, inasikitisha sana
Ni kwasabab mmewapa utukufu na kuwaachia kila kitu wao

Ref : Kenya

Huez pata pesa bila kuamka na kwenda kuitafuta , ukikaa kitandan na muuzaj kweny duka lako atakuwa anakupiga tu
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Hapo pia anamtetea muislam mwenzako Mzee Ally Kibao aliyenyakuliwa mchana kweupee na polisi akauawa....unazungumziaje kuhusu hilo?!.
Kimsingi, anatetea uhai wa yeyote yule hasa wale wasio na sauti...udini uko wapi hapo?!.
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Naona kama umeenda mbali:-
* Mbn umemtukana mtu ambaye ktk maelezo yake hajatukana!

* Je, kibao alikamatwa kwenye halaiki?

* Mdude alikamatwa?

Epuka jaziba, mjibu kwa hoja na hekima
 
Kuna din haijaumiza mtu dunian ?

Je analizungumzia Kanisa au anazungumza kama mtanzania ?

Je anachozungumza ni uongo ?

Je tuache watu waluliwe mpk yakukute ndo tuanze kukemea ?

Je unajua hatima ya kuwaacha watu waongoze nchi kama wanaongoza familia zao ??( bila kufuata katiba )

Je kipi kina kupa uhakupa uhakika kuwa upo salama kwenye utawala huu usiofuata sheria za nchi ?

Mtu ulitawaliwa na wageni sababu ya ujinga wako na unaukumbatia ujinga yaana babu zako wàlituingiza shimon tukafanikiwa kutoka leo hii ww unaturudisha shimon tena

Ifike muda mutumie akili kushabikia vitu , ushabiki mwingi mtakuja ku kukiwa kumeharibika

Wanayoyafanya wakenya ni kulinda amani ya nchi , kila mkenya anajihisi yupo salama nchin kwake

Ila hapa Tz kuna watu wanaishi kwa mateso na nyiny hamtak hata kukemea wale watesi na wakikemewa mnawakumbutia
sijasema dini, nimezungumzia RUBISH talk za hyu Rev wa Roman Catholic, wamefanya mabaya (evil) dhidi ya binadamu kuliko mema na wanahusika sana kushiriki ktk machafuko ya kisiasa. RC ni kanisa ambalo waelewa wengi wanataka REFORM ndani ya kanisa, ili kuzuia madudu dhidi ya binadamu yanaoendelea na kuwa covered kijasusi na kiasa.

  • ROMAN CATHOLIC CHURCH has made significant contributions to society in various fields, it has also been responsible for actions that have caused immense suffering and injustice
  • The CATHOLIC Church has been criticized for suppressing dissent and opposing scientific advancements at time
  • Recent decades have seen major revelations of widespread sexual abuse of minors by Catholic clergy, leading to widespread condemnation and calls for reform.
  • The Church's entanglement in politics and the abuse of power by some clergy members have led to accusations of corruption and abuse.
  • The historical use of the Inquisition, a period of religious persecution and violence, is a major point of criticism
  • Pope Francis asks for forgiveness for church's role in Rwanda genocide​

    Pontiff acknowledges some Catholic priests and nuns ‘succumbed to hatred and violence’ by taking part in 1994 killings
    Pope Francis has asked for forgiveness for the Catholic church’s role in the 1994 Rwandan genocide, in which 800,000 people were slaughtered in 100 days of violence. The “sins and failings of the church and its members” had “disfigured the face” of Catholicism, he said
 
Back
Top Bottom