Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Well said Father
Daaa!!Hema la mama..
Ni "Mungu" gani unaye mzungumzia wewe; huyo mnayemwamurisha na kumwagiza wenyewe afanye mnayoyataka nyinyi?Hawajaanza Leo, hawatamaliza kesho.......Samia atalindwa na Mungu na si hawa binadamu waliojaa chuki na hila
🤔Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Mnavyomchukia nyie na TEC yenu unafikiri angekuwepo mpaka Leo bila nguvu na ukuu wa Mungu?!!!! Mungu ni mmoja tu, kama wapo wengi ni huko kwenu. Yeye haamrishwi Bali huamrisha......... mengine hamyajui ila mnayapangilia kwa matakwa yenu.Ni "Mungu" gani unaye mzungumzia wewe; huyo mnayemwamurisha na kumwagiza wenyewe afanye mnayoyataka nyinyi?
Hivi hili linawezekana; litaanzia wai; na nani atalianzisha!Akienguliwa kugombea na chama chake utabadili kauli?!
Kwa hiyo ni 'Mungu' wenu huyo, ndiye anayeagiza muwateke watu na kuwaua, au mnawateka nyinyi na kumwamuru yeye awaue?Mnavyomchukia nyie na TEC yenu unafikiri angekuwepo mpaka Leo bila nguvu na ukuu wa Mungu?!!!! Mungu ni mmoja tu, kama wapo wengi ni huko kwenu. Yeye haamrishwi Bali huamrisha......... mengine hamyajui ila mnayapangilia kwa matakwa yenu.
Kumbe naongea na linyumbu lililochanganyikiwa?!!!! PoleKwa hiyo ni 'Mungu' wenu huyo, ndiye anayeagiza muwateke watu na kuwaua, au mnawateka nyinyi na kumwamuru yeye awaue?
Inaonekana kama unamzungumzia Samia kuwa ndiye 'Mungu' wenu!
Chamwino na Lumumba wanauliza msemaji wa Kanisa ni Katibu au MwenyekitiKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima
Udini unakutesa mkuu. Pia sio Kila anaetoka Singida ni Mnyiramba mkuu.Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Si tu linawezekana, ni jambo ccm hawawezi kuliepuka.Hivi hili linawezekana; litaanzia wai; na nani atalianzisha!
Kama kweli "waislam" wanakutegemea mtu kama wewe kuwasemea mambo ya dini yao, hili litakuwa ni jambo la kusikitisha sana.Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Kumwengua Samia; kwenye dakika hii hatarishi kwa kila mmoja wao ndani ya chama?Si tu linawezekana, ni jambo ccm hawawezi kuliepuka.
TEC walitoa nyaraka hata wakati wa Nyerere.Ni vita za kidini, wakati wa Magu watu walinyooshwa sana mbona hatukuwasikia?
Gazeti refuu kumbe pumba tuuHaki Ina wajibu,nimekuwa nikifuatilia na kujiuliza kwann haya yatokee,lawama zielekezwe kwa serikali lkn nikapata majibu tofauti tofauti ambapo Kila mmoja wapo anapaswa kuyatafakari
Mosi,serikali inalaumiwa ndio inayolengwa ktk shutuma na kudhaniwa ndio inayoteka lkn pengine haihusiki na inashutumiwa tu sabu Ina wajibu wa kulinda wananchi, ila wajibu wa wakosoaji ni kuchukua tahadhari kwa wayasemayo ya self defense sabu maneno wanayotamka yanagusa pengine mtu mmoja mmoja na pengine mtu huyo anayapuuza lkn nyuma ya mtu huyo kuna akina mzee Kilomoni wanaomtegemea na kuona Simba amedharirishwa na Yanga ndio yanaibuka mambo ya usimba na uyanga nje ya club zenyewe na visa vinaanza
Pili,werevu wa watu hao,unaweza Kuta Wana migogoro binafsi na jamii zinazowazunguka mfano sheikh wa kule kwenye timu ya Singida fountain gate,yeye alikimbia madeni lawama zikatupiwa serikali,visa vya Habiba na yule diwani zikazuka tuhuma mara ibhololo ibhololo mara kawekwa kizuizini Cha mahaba niue mahaba nigaragaze
Tatu,uhasama wa maslahi binafsi hili nakumbushia yasemwayo kuhusu Chacha Wangwe hata kuibuka kwa G55 sabu ya udikteta wa mtu mmoja
Nne,Kuleta taharuki katika jamii na kuvuruga amani,mfano matamshi ya uvunjifu wa amani kunaweza Jenga chuki dhidi ya wazalendo wapenda amani MZALENDO mmoja akaamua kuondoa chanzo cha uvunjifu wa amani kwa kuona sasa itakuwaje Nina watoto na rasilimali zangu kibao na huyu mtu mmoja analeta chokochoko itakuwaje- yaani unajitengenezea maadui usiowajua kwa kauli zako za kifedhuli kwa maslahi finyu binafsi dhidi ya wengi
Tano,maneno Yako yanaweza chukuliwa kama fursa kwa maadui zako wa nyuma wakaamua kuchukulia fursa kwa adui wako wa sasa unaepambana naye wakajificha nyuma ya adui wako wakarusha jiwe kwa manati ukajua adui wako wa sasa ndie amekupiga manati
Sita,wengi huko CDM wanalalam8kiwa kuvunja ndoa za watu,vyeo wanapeana kwa nongo hivo kujitengenezea uadui na waume za watu mbona ACT,CHAUMA ni nadra haya kuyasikia japo la Abdul Nondo lilivuma lkn kumbe alijiteka
Saba,nimeshuhudia chaguzi za vyama vingi tangu 1995,matukio haya hutokea lengo ni kuiletea taharuki jamii kuonesha kwamba serikali haiwalindi ipaswavyo wananchi wake,matukio kama mauaji ya albino na vikongwe,wanyonya damu,wachuna ngozi,sasa utekaji ni baadhi ya matukio yanayotumiwa na vyama hasimu dhidi ya vyama tawala kwa lengo la kukishushia hadhi chama tawala kwa wananchi tumeona chibuku wale watoto wa shule huko Nigeria,M23 Congo n.k ila wachochezi wakijaribu kudhibitiwa kwa lengo la kulinda tunu ya amani na urithi wa vizazi vyetu hukimbilia organs za kimataifa kutafuta huruma na msaada wakisahau wajibu wao ni kudumisha amani
Mawazo yangu tu,nipo Nairobi kuona kama Kuna chama Cha upinzani (friends of Martha Karua and etal)kitakuja kuunga mkono haya maandamano
Tusome maandiko matakatifu katika Mwanzo 4:8 na 2 Samwel 13:28-29
Umeulizwa mzee kibao angekuwa babako still ungeendelea kupiga hilo domo kwa njia hasiMnavyomchukia nyie na TEC yenu unafikiri angekuwepo mpaka Leo bila nguvu na ukuu wa Mungu?!!!! Mungu ni mmoja tu, kama wapo wengi ni huko kwenu. Yeye haamrishwi Bali huamrisha......... mengine hamyajui ila mnayapangilia kwa matakwa yenu.
Kwa hiyo Samia ana haki ya kuishi na kulindwa na Mungu ila Mzee Kibao haki yake ilikuwa ni kuuliwa kikatili.Hawajaanza Leo, hawatamaliza kesho.......Samia atalindwa na Mungu na si hawa binadamu waliojaa chuki na hila
Ukiwa muislam ndo anaruhusiwa kuua????Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu