The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kanisa Katoliki kuna clear hierarchy of authority, flow of information.Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika Novemba 20, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni mkoani Dar es Salaam kilikuwa cha binafsi na si mazungumzo ya Baraza la Maaskofu.
Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatatu Desemba 1, 2025 juu ya masuala mbalimbali yanayohusu hali ya nchi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Padri Kitima amesema alikwenda kwa Waziri Mkuu baada ya kualikwa binafsi, na si kama mwakilishi wa TEC.
Padri Kitima amesema hakupokea barua, ajenda wala maelekezo kutoka TEC kabla ya kwenda kwenye mazungumzo hayo, jambo ambalo linaonesha kuwa hakwenda kama sehemu ya taasisi.
Ameeleza kuwa Waziri Mkuu alimuita kupitia simu yake binafsi na akamweleza kuwa angependa wazungumze “kama watu wanaofahamiana”, akibainisha kuwa wamekuwa na uhusiano mzuri kwa muda mrefu.
Katika mazungumzo yao, Padri Kitima amesema waligusia pia matukio ya baada ya uchaguzi kwa namna ya kawaida ya kibinadamu, akisisitiza kuwa hayo si mazungumzo ya kitaasisi.
Amefafanua kuwa kama kungekuwa na mazungumzo ya kitaasisi, basi angeomba kibali kwa Rais wa TEC ambaye ndiye msemaji rasmi wa TEC na mwenye mamlaka ya kutoa tamko la baraza.
Kwani Amemkana au amefafanua taarifa sahihiKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika Novemba 20, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni mkoani Dar es Salaam kilikuwa cha binafsi na si mazungumzo ya Baraza la Maaskofu.
Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatatu Desemba 1, 2025 juu ya masuala mbalimbali yanayohusu hali ya nchi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Padri Kitima amesema alikwenda kwa Waziri Mkuu baada ya kualikwa binafsi, na si kama mwakilishi wa TEC.
Padri Kitima amesema hakupokea barua, ajenda wala maelekezo kutoka TEC kabla ya kwenda kwenye mazungumzo hayo, jambo ambalo linaonesha kuwa hakwenda kama sehemu ya taasisi.
Ameeleza kuwa Waziri Mkuu alimuita kupitia simu yake binafsi na akamweleza kuwa angependa wazungumze “kama watu wanaofahamiana”, akibainisha kuwa wamekuwa na uhusiano mzuri kwa muda mrefu.
Katika mazungumzo yao, Padri Kitima amesema waligusia pia matukio ya baada ya uchaguzi kwa namna ya kawaida ya kibinadamu, akisisitiza kuwa hayo si mazungumzo ya kitaasisi.
Amefafanua kuwa kama kungekuwa na mazungumzo ya kitaasisi, basi angeomba kibali kwa Rais wa TEC ambaye ndiye msemaji rasmi wa TEC na mwenye mamlaka ya kutoa tamko la baraza.
Father yuko 1000miles ahead of timeMwigulu alitaka tu apige picha na Padre Kitine kisha aotumie kisiasa.
Mwigulu alitaka tu apige picha na Padre Kitine kisha aotumie kisiasa.
Sijasoma kenge weweNyie Kitime/ TEC naona mmefika kwenye point mnataka nchi isiwe na utulivu tu,kwa hoja moja au mbili hata kama kuna ukweli fulani lkn TIMING yenu haipo sawa, bado kuna mgawanyiko mkubwa ktk jamii na nyie kwa kujua ukubwa wenu mnazidi kuchochea kuni na lengo moto usipowe na labda kiwake lkn pia mnazidi kuwaonyesha hata watu wa dini na madhehebu tofauti na hasa Waislam kwamba kuna agenda zenu za sirini ebu kitulizeni wakuu, watu wakisema kweli zao kuhusu nyie mnakuja na hoja za watetezi wenu eti mna PHDs sijui badala kujibu hoja zao
Mnafaidika vipi na bandari ya wote na ruzuku mpatazo kwa kodi za wa Tanzania wote wa imani na madhehebu yote kwa hiyo MOU yenu na serikali ? inasaidia vipi kupunguza gharama kwenye ma shule na hospitals zenu? Maana hakuna nafuu pia huko ni kama any privates institutions tu
Hii tensions ikiendelea end results zenu zipi na benefits zake??
Timing yenu ya ma waraka na ma ujumbe haipo sawa hata kama kuna a grain of truth
Kama rais ndo msemaji yeye anafanya nini huyu balazizKatibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika Novemba 20, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni mkoani Dar es Salaam kilikuwa cha binafsi na si mazungumzo ya Baraza la Maaskofu.
Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatatu Desemba 1, 2025 juu ya masuala mbalimbali yanayohusu hali ya nchi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Padri Kitima amesema alikwenda kwa Waziri Mkuu baada ya kualikwa binafsi, na si kama mwakilishi wa TEC.
Padri Kitima amesema hakupokea barua, ajenda wala maelekezo kutoka TEC kabla ya kwenda kwenye mazungumzo hayo, jambo ambalo linaonesha kuwa hakwenda kama sehemu ya taasisi.
Ameeleza kuwa Waziri Mkuu alimuita kupitia simu yake binafsi na akamweleza kuwa angependa wazungumze “kama watu wanaofahamiana”, akibainisha kuwa wamekuwa na uhusiano mzuri kwa muda mrefu.
Katika mazungumzo yao, Padri Kitima amesema waligusia pia matukio ya baada ya uchaguzi kwa namna ya kawaida ya kibinadamu, akisisitiza kuwa hayo si mazungumzo ya kitaasisi.
Amefafanua kuwa kama kungekuwa na mazungumzo ya kitaasisi, basi angeomba kibali kwa Rais wa TEC ambaye ndiye msemaji rasmi wa TEC na mwenye mamlaka ya kutoa tamko la baraza.
Ngoja tuufumue ule mkataba wenu unaowapa kiburi...RC wanafollow protocol