PostGE2025 Padri Kitima amkana Mwigulu, asema tulikuwa na mazungumzo binafsi si ya TEC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Timing yenu ya ma waraka na ma ujumbe haipo sawa hata kama kuna a grain of truth
Ulitaka waongelee au watoe waraka wakati gani?

Baada ya shetani wenu samia aliyeua maelfu ya watanganyika kuwa ameshaondoka madarakani 2031 huko, ameenda kujipumzikia zake huko Omani ndio TEC wajitokeze kuongelea mauaji yaliyofanyika leo hii 2025????

Kwamba wanachochea moto? Kivipi?

Unataka watu wanyamaze eti hili kuleta utulivu na wakati MUISLAMU MWENZIO samia kaumiza familia za watu na mpaka sasa hivi kuna watu wanatafuta ndugu zao kwenye mahospitali kumbe walishazikwa kama mizoga na serikali ya shetani samia?

Yaani unataka TEC wakae kimya kisa tu kuna tensio kubwa ya kumtaka huyo mama ako awajibishwe kwa genocide aliyoifanya?

Nyie makobazi(baadhi yenu) mmekuwa ******* ******* sana, mnamtetea sana huyu mzanzibari hata kwenye mambo ambayo hayapaswi kumtetea, hivi ndugu yako angekuwa amezikwa akiwa bado hai na Samia ungemtetea hivi? Mnaudhi sana nyie.

Hakuna cha TIMING mbovu wala nini, huu ndio muda sahihi wa kuongelea yaliyojiri nchini kuhakikisha wauaji wote wanachukuliwa hatua, kama kufanya jambo sahihi ni kulipasua taifa acha tu lipasuke.

Ni heri tuishi kwenye taifa lililopasuka but it is run by sanity kuliko kuishi kwenye taifa la watu wenye vidonda na wanafiki wakubwa kama wewe.
 
Punguza munkari mzee yaani upo that low kwa chuki tu mkuu, hao kina Mkapa walivyoua kule Zanzibar mbona hao kina TEC hawajatoka na matamko
Na umeandika as if huyo mama anatoka hapo kesho tu na asipotoka na hiyo chuki,jazba na hasira yako uta I channel wapi mkuu wangu mwisho upate ma ulcers tu

Point zote mmezibebesha kwenye vifo vya 29 na hata sioni mlichokuwa mnakipigania mkikiongea kwa ukubwa zaidi ya matokeo ya 29 na kusema mama atoke, kwahiyo ndo lengo lenu kuu yeye akitoka? Baada ya kutoka nchi umpe nani Lissu, TEC , Gwaj au Mange???
Hamna hata plan za baadae mpo mpo tu atoke sijui nini sawa labda katoka what next?? Vifo vimetokea na sio kwamba ni kitu Chema sababu pia ni hao wanasiasa na wana harakati kwa kutokufata na kukaidi maagizo ya serikali ( unaweza usiikubali lkn ndo ni dola bado) ilikuwa kapige kura na rudi kwako lkn wewe unaenda na kuanza kuchoma vituo vya polisi na kuna polisi wameuwawa, unaiba mali za raia wenzio unachoma miundo mbinu na mali za wenzako raia wa kawaida na ulitaka wachekewe na kuangaliwa tu, hao waandamanaji ndo wali provokes yaliyotokea na hapa TEC wala hapatolei matamko anaparuka kwa makusudi ili agendas zake zitimie , ilikuwa haina namna na labda ndo pona yetu wote hapa,

Na ww unachuki za kidini tu kwa andiko lako hili
 
Back
Top Bottom