PostGE2025 Padri Kitima amkana Mwigulu, asema tulikuwa na mazungumzo binafsi si ya TEC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna walioleta hiyo TENSION zaidi ya hawa wahuni?

Au Kitima ndio alishika Ak-47 na kumimina risasi majumbani kama mwendawazimu?

Tulieni hivyo hivyo wananchi watalipa kisasi kazi ya jeshi ni kulinda wananchi matokeo yake wakawa wanaua wananchi sasa wananchi watajilinda wao round hii.

Risasi haikuchagua mkatoliki, muislamu, mpagani, mfupi , mrefu , mweusi wala mweupe.
 
Kwa mujibu wa gentamycine,huyo mwenye jezi ya yanga ana hamu na 9D
 
Ccm hata mkikaribiana kimbia hawakawii kuonyesha picha yako na kusema hata wewe ulishiriki kikao cha mauaji ya raia.

Wao wakipata picha tu wana geuza habari.
 
Haujakatazwa kutoka mkuu na mie sijawahi pinga maandamano hasa ya amani na yenye ujumbe ulio timilifu nakataa yale ya hila na ghiriba kwa ku push agendas ambazo zingine hata hazipo wazi

Ukitoka na mkatoka mkamwagana damu ni nyie tu mie sina upande wowote kwangu nawaona mnachangia kupoteza amani na umwagaji damu wawe hao dola au nyie mnaosema mtakinukisha wote nawawekeni kwenye kapu moja tu la watu vurugu na mnapenda damu zimwagike, piganeni, uaneni mkitaka ,
Sie wa Afrika tupo stage ya kukua hatupo full developed hata ktk ngazi ya ufahamu yaani tuna uhayawani fulani hizi ni stages za kukua pia malizaneni tu mkuu kwa kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ziwe external au internal maana kukaa na kujadili na kuweka taratibu zetu na kuheshimiana hata kwenye tofauti zetu hatuna hizo
 
Tulia dawa ukuingia
 
Kwahiyo muue watu halafu kila mtu akae kimya na kuwalamba miguu?
 
Kwahiyo muue watu halafu kila mtu akae kimya na kuwalamba miguu?
Nani kaua mkuu hata sisimizi mdogo namuheshimu lkn haujakatazwa nawe kufanya unachoona ni sawa kwa kulipa kisasi au vyovyote tu mkuu, kubwa ni kuleta muafaka na amani kama watu watataka na sina upande mie ndo maana nasema dola na wapinzani na hizo TEC na hao Gwaj ni muendelezo wa hatari tu na kama hawajatosheka na damu
 
Tuache ujinga, lini kutapoa ili uone kubwa sasa wanayo haki ya kusema?
Hizo ruzuku kwa RC inailazimisha serekali kuzitoa?. Ni miaka sasa serekali ya CCM ikiteka na kuua kwanini anayekemea ukomeshaji wa matukio hayo ndo awe mbaya?. Jamani mmerogwa na nani?
 
Soma kwa kutulia wana hoja mbili tatu lkn tatizo na nina question hizo busara zao hao sijui wenye PHD ni kuhusu TIMING sahihi kwa kuja na maelezo haya na waraka ule na kwa mtu anaefikiria hata kwa kiwango kidogo tu anajua lengo ni kuleta muendelezo wa mkanganyiko na siyo amani tena, na je kuna agendas zipi kwa upande wao , kama ni kuhubiri haki tu au kuna kutumia hii fursa ya mpasuko huu kwa faida zao zilizofichikana
 
Mwigulu ni sehemu muhimu ya Tatizo la Tanzania wakati huu; huyu sasa ndiye wakala mkuu wa utetezi wa uovu, kwa sababu tu anapata fursa ya kufaidika na matokeo ya uovu huo.

Ni muhimu sana waTanzania wasihadaiwe na uigizaji unaofanywa kwa nguvu kubwa kuwasahaulisha waTanzania uovu wa watawala hawa. namawakala wao.
 
Maandamano ya amani yangekuwa yanaruhusiwa basi nadhani kusingekuwa na haja na maandamano ya vurugu.
 
Kwako timing yenye busara ilitakiwa kuwa lini?.
Ni miaka sasa utekaji na mauaji vinaendelea, binafsi nitasimama na yeyote anayepaza sauti ya kukomesha uharamia huo pasipo kuzingatia factor ya muda. Sasa wewe unayesubiri muda muafaka wa kusema endelea kusubiri, na yawezekana usiupate maana huna ratiba ya mtesi wetu na pia kumbuka haangalii dini.
 
Kajinyonge mwanakwerekwe kama umekereka
 
Akili yako ni fupi kama ilivyo ya Samia.
Anafanya maovu yote, halafu anageuka kwenda kuwapumbaza hao waliofanyiwa maovu; hiyo ni akili ya wapi hiyo?

Sasa hapa unalaumu "waraka" gani tena uliotolewa?

Unachotaka wewe, kama anavyotaka Samia ni kuwa waTanzania wakubali uovu uliofanyika juu yao, kwa maksudi kabisa; wasizungumzie tena hilo, kwa sababu Samia sasa anataka kuponya taifa baada ya kupora ushindi usiokuwa halali!
Jinsi akili yenu inavyofanya kazi ni tofauti kabisa na binaadam wa kawaida.

Tueleze wewe, ni kitu gani kilicho zuia kuwepo na uchaguzi huru na haki?

Kwa nini waTanzania wanaendelea kutekwa/kupotezwa na kuuawa. Baada ya yote haya mliyoyafanya kwa dhamira ovu, sasa mnageuka na kuja kulazimisha watu wasiyazungumzie tena na kuyakataa?

Huu utawala mnaowalazimisha waTanzania waukubali kwa kutumia mitutu ya bunduki; huko ndiko kuponya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…